Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
TrueMkuu kweli? au joke tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueMkuu kweli? au joke tu
Umeuliza ama umathinitishaTrue
True
WhyKuna She kaniambia tayari ila education walioajiriwa ni pungufu ya nafasi walizitoa
Nilipita na ya afya upate wa social welfareKuna She kaniambia tayari ila education walioajiriwa ni pungufu ya nafasi walizitoa
Mwaka gani mkuu? na vp walichukua idadi ya watu wangapi social welfare
Nimemaanisha nimetuma.na mm hiyo nafasMwaka gani mkuu? na vp walichukua idadi ya watu wangapi social welfare
Ahaa apo sawa mkuu,
TusbrAhaa apo sawa mkuu,
nimetuma pia kwa nafasi hiyo japo hawaja indicate wanahitaji watu wangapi
Watu mnaharaka sana na hiyo PDF ila kwa miaka mingi hivi karibuni huwaga zinatoka wiki mbili before July
Hii ni sahihi kabisa uzoefu unaonesha ni hivyo.Watu mnaharaka sana na hiyo PDF ila kwa miaka mingi hivi karibuni huwaga zinatoka wiki mbili before July
Hapo kwenye social welfare vita ni kubwa, kuna nyomi la kufa mtu, hiyo inatokana na sifa walizoziweka kuwafit watu wengi sana. Kwenye pdf ya mwaka Jana walioajiriwa kwa nafasi hiyo ni watu 50 tu.Ahaa apo sawa mkuu,
nimetuma pia kwa nafasi hiyo japo hawaja indicate wanahitaji watu wangapi
Kwa mtazamo wangu naona tuwe wavumilivu hadi wiki ya kuanzia tare 12 hadi 18 mzigo unaweza kuwa hadharani lakini pia tusiziwazie sana maana unaweza kuziwazia ukakuta haupo. Wacheza kamari tunaelewa moment kama hizi tulimpa dotmund kuwa bingwa ila haikuwa hivyo😁Hii ni sahihi kabisa uzoefu unaonesha ni hivyo.
Ni kweli japo watu wengi wa kozi nyingine hawaku apply kwa kasi upande wa social work kwakua toka mwanzo tangazo lilijipambanua kua ni kada ya afyaHapo kwenye social welfare vita ni kubwa, kuna nyomi la kufa mtu, hiyo inatokana na sifa walizoziweka kuwafit watu wengi sana. Kwenye pdf ya mwaka Jana walioajiriwa kwa nafasi hiyo ni watu 50 tu.
Fatilieni bunge, ukiona bdo kuna wizara hazijaripoti bajeti zao so bajeti ikipita, tunaanza mwaka mpya wa fedha ambyo ni june mwishon kwnda july majina yataachiwaKwa mtazamo wangu naona tuwe wavumilivu hadi wiki ya kuanzia tare 12 hadi 18 mzigo unaweza kuwa hadharani lakini pia tusiziwazie sana maana unaweza kuziwazia ukakuta haupo. Wacheza kamari tunaelewa moment kama hizi tulimpa dotmund kuwa bingwa ila haikuwa hivyo[emoji16]
Ndio kawaida hiyo...mpaka bunge la bajet lifike mwisho....tamisemi last year walitoa 24 June na wizara ya afya 28-29 June...so vijana tegemeeni wiki ya mwisho wa mwez JuneFatilieni bunge, ukiona bdo kuna wizara hazijaripoti bajeti zao so bajeti ikipita, tunaanza mwaka mpya wa fedha ambyo ni june mwishon kwnda july majina yataachiwa