DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'


Itoshe tu kusema hii dunia ina watu wana roho mbaya sana, hata Mkuu wa kazi au Idara anashindwa kukusitiri?
 
Poleni sana vijana halafu anatokea mtu anakuambia anashukuru serikali ya CCM.
Watu wanakosa stahiki zao hata nguvu ya kufanya kazi /kunyanduana zimepotea kabisa.
Poleni sana.
 
Poleni sana vijana halafu anatokea mtu anakuambia anashukuru serikali ya CCM.
Watu wanakosa stahiki zao hata nguvu ya kufanya kazi /kunyanduana zimepotea kabisa.
Poleni sana.
Ata kunyanduan nawaza sasa nmebakiza nguvu za kikojolea tu naana hormon ya unyanduz isipo pata chakula ikawa na stres ufnyi kitu

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu wa kazi unatakiwa kuona mshahara kwanza umesoma ndo uanze kazi.

Nchii hii ukikaa vibaya unaweza kujikuta umepoteza ubingwa. 😂😂
 
Kwa Halmashauri Jambo la msingi ni kujaribu kupambana uwekwe mapema kwenye payroll uanze kupata Mshahara.

Pesa ya kujikimu ni probability. Unaweza kupewa au usipewe.
Anapambana vipi awekwe kwenye payroll wakati ashakamilisha procedure zote?
 
Shukran sana

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Pesa ya kujikimu za Halmashauri hulipwa kwa kutumia vifungu vya OC kutoka kwenye mapato binafsi ya Halmashauri.

Na hiyo OC kila mmoja huwa anaangalia hapo hapo.

Jaribu kuulizia Kama wenzenu huko nyuma walipewa, maana kuna Halmashauri watu tangu waajiriwe miaka 20 Bado wanadai.
 
Wenzetu waliotangulia walioewa japo kwa hawamu hawamu na azikumakizwa zote. NIMENUKUU WALIVYO SEMA.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Wanapewa mkuu. Nakumbuka mwaka jana walipewa halafu ikaibuka scandal kuwa baadhi ya halmashauri walilipa kidogo.
 
Una Anza kulia Lia mapema sana utatoboa kweli wewe? Komaa hizo ndio ajira za serikali ya Tanzania msoto ni mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…