DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Noted sir

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakat nmekaa nkajiuliza hiv ninin hasa kinawafanya watu wanashindwa jal thaman ya mtu. Ata kidog ili hari umemfata ofisin zaid ya mara mbili..

Alaf ww unawasikia wanasema boss vp kuhus ile posho sasa then wanachekaa wana enjoy.

Ndo maana wa tz weng wakifa ata nyuso zao zinapoteza taswira halisi maana maana nafs zao zina dhambi sana ya unafik.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu hawana ubinadamu, Zao lolote la CCM ni laana, Kuna Dada zetu wanateseka wa ujinga wa hawa watu. Mimi niliacha hiyo Ajira yao mbona tungepigana ngumu tu
 
Daaaah, ndo mana mshikaji wangu ye amepata huko mkuranga pwani, juzi ananicheki nim save kiasi kidogo cha fedha nikashangaa sana mana kaniacha mtaani napigika nkajua kaula kumbe bado. Hii nchi hii tunachoweza kwa usahihi na kwa wakati ni ushirikina na minyanduano tu.
 
Mkuu hii hali ikikukuta usiombe, hadi amefikia kuandika humu itakuwa hizo ngazi hapati majibu ya kuridhosha. Serikali haidhulumu italipa japo si kwa wakati. Nakushauri andika barua kwa boss wako ukapumzike kwenu hadi utakapopewa hiyo stahiki au mshahara akikukatalia basi yeye abebe jukumu la kukutunza. Kazi siyo mateso
 
Acha kulialia mshahara hujaanza kulipwa?sometimes muwe mnajiongeza kama vp acha kibarua hicho ukapambane kivingine
 
Pamoja na yote, Hongera sn kwa kupata kaz, mateso ni ya kitambo kidogo, vumilia.
 
Pole sana mkuu naelewa Hali unapitia
 

Elewa hali aanyopitia huyu dogo, elewa hatua alizochukua pia, Kwa ufupi amepambana ila kakwamishwa.

We teacher unafundisha saa ngapi kutwa tupo wote jamii forum? fanya kazi ujira baadae

Afanye kazi na njaa?

Pole teacher!
Ila ulisherekea mno wakati unaona jina kwenye mkeka!!!

Lile ni jambo jingine, na hili ni jingine.

Punguza ujuwaji bwan mdogo, unazani wewe ndiye wa kwanza kuajiriwa huko halmashauri? Kaa kimya.

Ujuaji gani hapo?

Naweza tunza ukoo wenu mzima,kula asubuhi hadi jioni(chakula bora),kuvaa,kusafiri upendavyo kwa miaka 50.

Bichwa kama fenesi

Inama upigw kamoja.

Tumbo kama papai
Rubish.

Big Up kwa wote mliompa dogo mawazo na kumtia moyo..

Jf inawezekana bila mataahira kama hili moesy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…