Kuwepo na vipaumbele kwenye matumizi ya hizo pesa, kuna pesa nyingi huwa hazitumiwi ipasavyo zinachezewa tu, mfano juzi wizara ya Mwigulu bilioni tatu zimetafunwa.Uhaba upo.
Walimu wapo mtaani.
Pesa za kuajiri hazipo.
Tatizo la Ajira Tanzania ni la kipekee sana.
Serikali yetu bana, kwenye mambo ya msingi/maendeleo utasikia pesa hakuna....vitu visivyo na tija kwa Taifa mpunga upo, leo wakisema posho zao zitoke kuwa laki 2 iwe milioni pesa itapatikana na watajilipaUhaba upo.
Walimu wapo mtaani...
Kweni unadhani ni chama gani kikiongoza ndiyo kutafanya nchi kua kama Ulaya ghafla? Watu hua mna upuuzi tu,mimi sina chama lakini najua hulka za waTanzania. Kila atakaye ongoza nchi atalaumiwa tu au kila chama kitalaumiwa tu maana watu huishi kwa matamanio ambayo mtu mwingine hawezi kuyatekeleza kwa wakati mmoja.Huwa sielewi CCM huwa wanapata wapi uhalali wa kuomba kuendelea kuongoza hii nchi na wanaowaunga mkono sijui huwa ni vipofu na viziwi!
Mambo yao hayawezi kukwama.Serikali yetu bana, kwenye mambo ya msingi/maendeleo utasikia pesa hakuna. Vitu visivyo na tija kwa Taifa mpunga upo, leo wakisema posho zao zitoke kuwa laki 2 iwe milioni pesa itapatikana na watajilipa
Ukweli ni kwamba hata kama CCM ikitoka madarakani, kitabadilika chama tu, nyuso za watawala zitakuwa zile zile.Kweni unadhani ni chama gani kikiongoza ndiyo kutafanya nchi kua kama Ulaya ghafla?watu hua mna upuuzi tu,mimi sina chama lakini najua hulka za waTanzania...kila atakaye ongoza nchi atalaumiwa tu au kila chama kitalaumiwa tu maana watu huishi kwa matamanio ambayo mtu mwingine hawezi kuyatekeleza kwa wakati mmoja.
Na kitu hua naona pia watu wengi wa sasa ni vitoto vya kuzaliwa 1990 kuja sasa,havijui nchi imetoka wapi na sasa tuko wapi
Unaonekana umeridhika sana, that's good for you, kwa wenzako CCM imefeli; miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru bado tunapigana na wale maadui watatu (ujinga - ukosefu wa walimu wa sayansi, maradhi, na umasikini).Kweni unadhani ni chama gani kikiongoza ndiyo kutafanya nchi kua kama Ulaya ghafla?watu hua mna upuuzi tu,mimi sina chama lakini najua hulka za waTanzania...kila atakaye ongoza nchi atalaumiwa tu au kila chama kitalaumiwa tu maana watu huishi kwa matamanio ambayo mtu mwingine hawezi kuyatekeleza kwa wakati mmoja.
Na kitu hua naona pia watu wengi wa sasa ni vitoto vya kuzaliwa 1990 kuja sasa,havijui nchi imetoka wapi na sasa tuko wapi
Mh, hata wakati unasoma Physics na hesabu ilikusumbua na hukuwa na mwalimu na matokeo yake hukufaulu. Ila kwa Sasa walimu hao wapi mitaani wanaohitaji ajiraWaziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso
Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani
Ametoa maelezo hayo baada ya Wabunge kuhoji ni lini Serikali itapeleka Walimu wa Sayansi katika Shule akikiri kuwepo Uhaba
Shujaa alikuwa anafanya nini sasa?Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso
Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani
Ametoa maelezo hayo baada ya Wabunge kuhoji ni lini Serikali itapeleka Walimu wa Sayansi katika Shule akikiri kuwepo Uhaba
Zama zimebadilika kweli...! Sisi enzi zetu ilikua shule hazikosi walimu ya physics na mathematics, na hata kama hawakua waajiriwa wa serikali lakini shule ziliweza kuwaajiri walimu hao. Mtaani kukawa hamna waalimu wanademka demka..!Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso