TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

Tutaishia ku comment na kulaumu tu hapa lakini ifike mda tukubali kuwa hata nchi yenyewe imejaa wananchi wajinga na waoga mno, inaniuma sana napogundua kuwa hoja ya Ummy haitafanyiwa kazi iapasavyo, nasikitika pale napoona watu wanapata nafasi tu ya kulizungumzia hili kwenye mitandao ya kijamii tu ambayo haina nguvu kiufupi, lakini katika maisha ya kila siku [emoji117]they don't care [emoji118] lakini ndio uhalisia wenyewe, watu wameyazoea maisha ya kujifanya wajinga hadi wamekuwa wajinga, ndio maana hayati alilifaham hilo akatumia udhaifu huohuo.This is Tanzania
 
Waambie walimu 6 kati ya hao wengi waje hapa Namanyere, wilaya ya Nkasi mkoa wa Rukwa waingie kwenye ajira moja kwa moja

Hukumsikia waziri akisisitiza hilo?
Kuna posho huko?....physics hapa nipe direction ya kufika namanyere
 
Chakushangaza hao walimu wapo wengi tu mitaani wanazurura, Ummy alichofanya ni kuthibitisha tatizo lipo lakini hajalitolea ufumbuzi, so tutegemee liendelee kuwepo.
Hakuna mwl wa SoMo la physics mtaani anazurura labda awe Hana Qualification ili SoMo ni Lulu hata vyuoni wanaoandaliwa kwenda kufundisha Ni wachache Sana itachukua muda kumaliza ilo tatizo
 
Hakuna mwl wa SoMo la physics mtaani anazurura labda awe Hana Qualification ili SoMo ni Lulu hata vyuoni wanaoandaliwa kwenda kufundisha Ni wachache Sana itachukua muda kumaliza ilo tatizo

Watakuelewa sasa😍😍
 
Habari wakuu .

Mimi binafsi nashindwa kuelewa tatizo la nchi yetu, nchi inajua kabisa tatizo lipo ila kulitatua inakuwa na hatua za kivivu ambazo hazina msingi wowote...

Leo Ummy alivyokuwa anaongea, mimi binafsi nimemuona kama mnafiki tu, watu wazima na elimu zao wanaimba wimbo mmoja kila mwaka, huo upungufu wa walimu, wakati walimu hao wa physics wapo mtaani, kwanini mnashindwa kuwapeleka huko wakasaidie kama kweli ni tatizo, huyu mama haoni aibu kweli kuimba wimbo ule ule bila kuchukua hatua..!

Hii nchi sijui ni bahili ,sijui pesa hakuna ,sijui nini daaah

IMG-20210610-WA0008.jpg
 
Taifa lolote lile ambalo kuajiriwa serikalini ni dili kama hapa kwetu ujue ni umasikini..
Taifa masikini..

Taifa tajiri watu wanawaza private sector Kwanza
 
Taifa lolote lile ambalo Hosp zinakosaa magari ya kubebea wagonjwa.

Huku Wastaafu wanapewa Magari ya mamilion ya Pesa.

Ujue ni Taifa lenye Viongozi masikin wa akili...na Hii ni kawaida Barani Afrika.
 
Back
Top Bottom