Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu kwa yale matrilion yanayokwenda SGR na stigilas george unazani kutakuwa na pesa za kuweza kuajiri na kulipa mishaara ya hao waalimu hapa cha msingi tukamilishe hiyo miradi ya mwenda zake kisha tuanze upya.Chakushangaza hao walimu wapo wengi tu mitaani wanazurura, Ummy alichofanya ni kuthibitisha tatizo lipo lakini hajalitolea ufumbuzi, so tutegemee liendelee kuwepo.
afu jamaa anasema eti nchi hii ni super rich - kwamba hakuna sababu ya kuwapigia magoti wahisani aka mabeberu...Uhaba wa Walimu upo.
Walimu wapo mtaani.
Pesa za kuajiri hazipo.
Tatizo la Ajira Tanzania ni la kipekee sana. Sidhani kama nchi nyingine zina matatizo ya ajira ya aina hii.
Tatizo LA vyama vingine hata ofisi havina. Hivyo ni afadhali CCM ni kama Zimwi Likujualo!!!Huwa sielewi CCM huwa wanapata wapi uhalali wa kuomba kuendelea kuongoza hii nchi na wanaowaunga mkono sijui huwa ni vipofu na viziwi!
Dikteta alikuwa bize kununua midege ambayo inaleta tu hasara haina tija, wanaacha kuwekeza kwenye elimuShujaa alikuwa anafanya nini sasa?
Huwezi kusema walimu wa sayansi ni wachache wakati mtaani wako wengi tu waliomaliza vyuo vikuu na hawana ajira.Walimu wa science wachache sana miaka yote.
Tamisemi na wizara ya elimu watafute njia sahihi ya kuondoa hili tatizo
Alikuwa anapiga 20%Dikteta alikuwa bize kununua midege ambayo inaleta tu hasara haina tija, wanaacha kuwekeza kwenye elimu
Shujaa amepandisha deni la Taifa kwa kiwango cha kushtua ndani ya kipindi chake.Shujaa alikuwa anafanya nini sasa?
ALikuwa mpiga dili balaaShujaa amepandisha deni la Taifa kwa kiwango cha kushtua ndani ya kipindi chake.
Ukiangalia kiasi cha deni na kazi zilizofanyika haviendani.
Vijana hawana ajira.
Tunaendela kumshukuru Mungu kwa kumchukua mapema.
Kwa akili yako hii wewe ni mwanaCCM.Kweni unadhani ni chama gani kikiongoza ndiyo kutafanya nchi kua kama Ulaya ghafla? Watu hua mna upuuzi tu,mimi sina chama lakini najua hulka za waTanzania. Kila atakaye ongoza nchi atalaumiwa tu au kila chama kitalaumiwa tu maana watu huishi kwa matamanio ambayo mtu mwingine hawezi kuyatekeleza kwa wakati mmoja.
Na kitu hua naona pia watu wengi wa sasa ni vitoto vya kuzaliwa 1990 kuja sasa, havijui nchi imetoka wapi na sasa tuko wapi.
Akili za wana CCM ni vichwa vya wenda wazimu!Kwa akili yako hii wewe ni mwanaCCM.
Kweni unadhani ni chama gani kikiongoza ndiyo kutafanya nchi kua kama Ulaya ghafla? Watu hua mna upuuzi tu,mimi sina chama lakini najua hulka za waTanzania. Kila atakaye ongoza nchi atalaumiwa tu au kila chama kitalaumiwa tu maana watu huishi kwa matamanio ambayo mtu mwingine hawezi kuyatekeleza kwa wakati mmoja.
Na kitu hua naona pia watu wengi wa sasa ni vitoto vya kuzaliwa 1990 kuja sasa, havijui nchi imetoka wapi na sasa tuko wapi.
Oky,ndiomaana basi alikuwa ananunua kwa Cash ili apige cha juu chake, wakati baadhi ya Nchi nasikia huwa wanalipa kwa awamuAlikuwa anapiga 20%
Huwezi kusema walimu wa sayansi ni wachache wakati mtaani wako wengi tu waliomaliza vyuo vikuu na hawana ajira.
Binafsi nafahamu vijana wawili wa karibu ambao hawakupata ajira baada ya kuhitimu, pamoja na kujitolea kufundisha kwa muda katika shue za serikali.
Sasa hivi wote wawili wamejiriwa sekta binafsi katika fani tofauti na waliyosomea.
Akili ya sukumagang!! Pole!Una uhakika hao wengi huko mtaani ni walimu wa science?
Na kama kuna walimu wa science una uhakika kwamba wamekosa kuajiriwa au ndio wamekosa kuajiriwa mjini wmanakokutaka wao?
Kama wameajiriwa sekta binafsi hawajakosa ajira wala sio dhambi sababu private na public sector zote ni kwa maendeleo ya nchi hii, mradi hawajavunja sheria