Tutaishia ku comment na kulaumu tu hapa lakini ifike mda tukubali kuwa hata nchi yenyewe imejaa wananchi wajinga na waoga mno, inaniuma sana napogundua kuwa hoja ya Ummy haitafanyiwa kazi iapasavyo, nasikitika pale napoona watu wanapata nafasi tu ya kulizungumzia hili kwenye mitandao ya kijamii tu ambayo haina nguvu kiufupi, lakini katika maisha ya kila siku [emoji117]they don't care [emoji118] lakini ndio uhalisia wenyewe, watu wameyazoea maisha ya kujifanya wajinga hadi wamekuwa wajinga, ndio maana hayati alilifaham hilo akatumia udhaifu huohuo.This is Tanzania