Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Bora useme wewe...., afu huyu Madame B umri ukienda kidogo atakuwa mchawi huyu...

Unakumbuka ulivyomkomalia kuwa amchukue Arushaone wanati ule hadi ukaenda kuwafungasha ndoa tanga leo anakutosa na kesho mtetee tena hivyo hivyo.
 
Last edited by a moderator:

kuna dalili za kukimbiwa hapa@smile anamnyemelea sana nitakuja nipate hiyo dawa dear
 
Last edited by a moderator:
Hivi Taifa stars na the crane wamefungana ngapi vile au hili sio jukwaa lake
Tushachoka na habari za mapinduzi na kupinduana
Baba V hebu tafakari ujiukize kwa nini haya yanatokea
 
Last edited by a moderator:
Bado una nafasi ya kutafakari kauli zako...

Mwenyekiti naomba full list ya hawa wanaojiita wana mapinduzi niende nayo hapo nonde juu kwa mandondo halafu waone tamu ya mapinduzi. Madame b anamjua vizuri kwa kuwa ndo anapochukua mzigo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…