Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
upupupu ,Tunao na tindikali hapa tayari mwambie huyo Baba V aende pale ofisini kwake kama kweli yeye mugabe

Huyu ni Nivea ninayemfahamu au photocopy? Au ni original aliyepokea mlungula toka monduli ili atumike kuchafua hali ya hewa!?
 
Last edited by a moderator:
Sio maramoja au mbili watesi wangu wameaibika, napenda ujasiri wako ingawa nahofia isijekuwa nguvu ya soda...
kama ni nguvu ya soda mbona leo hujafika ofisuini kwako?njoo sasa hivui uone uongozi mpya tunavyojikorogea chai,maziwa ,na choklate hahaahahahahahaahahahahahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nimesema hawa watu wamekurupuka bila kujua wanapindua nini!? hawajui lolote kuhusu uenyekiti... wamebeba chuki zao binafsi dhidi ya Baba V na wakazipeleka ofisini....

Afu wanajua kuzipiga kelele haswa!
Nimejaribu kuwahesabu haraka haraka wako watano tu!!

Kelele nyiiingi!
Ila maji ya moto hayachomi nyumba...
 
Last edited by a moderator:
mkuu Himidini umeongea vizuri ila hapo red mbona bado mmeng'anga'nia silaha? wekeni silaha chini kwanza (au sijui maana ya hiyo slogani? ) khaaa

^^
Kiongozi anatamka rasmi kuwa yeye ni "The life chairperson of marriages" unamwelewa vipi?
Kaizer panapofuka moshi pana moto.
Tuambieni basi kama CC ni hatimiliki yake,,ili tujiengue.
^^
 
Last edited by a moderator:
What is your stand....

Mimi nasema hivi, Baba V bado ni mwenyekiti. Mapinduzi ni kinyume kabisa na katiba na ustaarab wa kawaida.

Wanamapinduzi wote hapo wana personal interests tu kwa sababu maslahi yao hayakutimizwa. Wengine wamepindua wake za watu humu, wanamtaka Baba V ahalalishe mahusiano yao, hilo haliwezekani!
Mzee jana aliwapa somo, na mimi leo nawapa tena somo, haraka haraka haina baraka. Mkuu kiwatengu popote ulipo, hebu come zis way kuna vijana hapa naona wanataka kumtia vidole vya machoni mwenyekiti

Na ikumbukwe kwamba Baba V sio mwarobaini wa kila tsunami hapa, nyingien ziko nje ya uwezo wake..kazi yake kuidhinisha tu ndoa....sasa mambo mengine yana watu wake

Nawasilisha, kisha anrudi kitandani

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
^^
Kiongozi anatamka rasmi kuwa yeye ni "The life chairperson of marriages" unamwelewa vipi?
Kaizer panapofuka moshi pana moto.
Tuambieni basi kama CC ni hatimiliki yake,,ili tujiengue.
^^

hapana Himidini, sio kujiengua. Hivi akipitisha ndoa yako ile sikumbuki na nani, basi utamkubali? Cc haina hati miliki, kukiwa na sababu genuine, tunamwengua, ninachosema hadi sasa sijaona sababu ya kumwondoa. Baba V hana access na PM za watu hadi aanze kuzipitia na kukemea yanayoendelea huko!
 
Last edited by a moderator:
^^
Kiongozi anatamka rasmi kuwa yeye ni "The life chairperson of marriages" unamwelewa vipi?
Kaizer panapofuka moshi pana moto.
Tuambieni basi kama CC ni hatimiliki yake,,ili tujiengue.
^^

Ha ha ha aaa.. till lambs become lions...
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni Nivea ninayemfahamu au photocopy? Au ni original aliyepokea mlungula toka monduli ili atumike kuchafua hali ya hewa!?
ni mimi mwenyewe kaka yangu niliyeleta mapinduzi nakufanikiwa kumng'oa huyu mwenyekiti aliyeshindwa majukumu yake nakuacha wana cc wakilimbana nakutupiamo maneno machafu yaani jana kulikuwa na fuguvugu ambalo baba v alitakiwa atoe tamko kam mwenyekiti ila wapi vivaaaaaaaaaaaaaa funguka macho kaka yangu funguka macho nyerere aliona mambo haya akakimbia pipooooooooooooooooooooooooooooooooo
 

hahaah poa mkuu mwita amranya msalimie sana mwaJ msiri wangu huyo....hii makitu ya ole medeye hii wacha kabisa inaweza kuwa defining moment ya watu wakubwa tu. Ngoja kwanza huu upepo hapa upite
 
Last edited by a moderator:

Nipo Mkuu Kaizer! najaribu kuangalia idadi yao..
kuna vijana wakiume 2 na wakike 3! jumla yao ni tano tu!
Hapa hakuna kitu
 
Last edited by a moderator:

hahaha Nivea kama Mwita Maranya ni kakako, basi utakuwa unamuabisha sana
Mbona misuto na ngoma zenu za Mkodobwe zimekuewapo miaka nenda rudi na hazijawahi kuzuiliwa, kwa nini ya jana itolewe tamko?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hasira za Himidini zimetokana na mimi kumwambia Queen Kan anipe uthibitisho unaoonyesha ni lini ameachana na king kan ili niidhinishe ndoa yake na Himidini...
 
Last edited by a moderator:
baba v they r measuring the depth of the sea by finger = wanapima kina cha bahari kwa kidole.lol .BTW nilisepa CC siku nyingi kidogo,am not aware with its current affairs.kisa ni nini mkuu?!
 

^^
Nimetoa hoja 5 ambazo kimsingi zipo makundi 2 moja ni Mahusiano ya CC na la pili ni Usasa na Ukale,,hiyo ndoa yangu hata isipotimizwa Maana naona tangu awali Bwana Mkubwa wa CC anakauli juu ya nani ampende nani na nani amkatae nani,,so he is the heaven to decide!
Tuwe wazi Kaizer nyinyi ndio wamiliki wa CC haihitaji ku Major wala ku Minor ili ulijue hili,,nidokeze tu hata sikioni kuwa Cc ni mali ya watu fulani Uone kama utaniona humu.
^^
 
Last edited by a moderator:
Nipo Mkuu Kaizer! najaribu kuangalia idadi yao..
kuna vijana wakiume 2 na wakike 3! jumla yao ni tano tu!
Hapa hakuna kitu

Halafu hao ndio wanajifanya kuwakilisha matakwa ya wana CC wote? haiwezekani..apo ukiangalian kilammtu ana sababu zake binafsi mkuu kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee muda wake ulishpita. Kumbuka hatesi mtesi akatesa.......wakati ukuta. Wakati wako umeisha bi kirembwe (ref tamthiliya kivuli kinaishi)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…