Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Ndo umbumbu ninaouona..!! Wamewadhalilisha Ansaar Sunna
Taasisi zote za dini ambazo hazifungamani na ukristo badala ya kutoa maoni ya kuunga mkono au kupinga kwa sababu za mashiko huo uwekezaji wa DPW bandari, wenyewe wanawashambulia TEC huu ni ujinga, ukengeufu na ndio chanzo cha madai ya udini wanayachochea kuanzia hapo. Kinachopingwa na TEC na wadau wengine ni mktaba wenye vipengele tata sio uwekezaji lakini hawaelewi halafu wanadai wanapunjwa katika teuzi za uongozi au fursa mbalimbali.

Msimtetee mtu kisa ni wa dini yako bali anayoyatenda kama yanazingatia maslahi ya wananchi wote sio viongozi walioko madarakani, familia zao na marafiki zao
 
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari Kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla..
Ukweli una nguvu siku zote. Na hapa ndipo ilipo tofauti ya hao TEC na hao imaams. TEC waliongea na hoja zao ziko wazi, hao imaams wao wako kwenye personalities. Elimu ni kitu kizuri.
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao
Kwa sababu wapingaji wa huu mkataba walifumbia macho mikataba mingine basi wsnakosa uhalali wa kutoa maoni yao?


TISS huu mchezo unawadhalilisha
 
Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao
Kikwete nenda ukakemee hili,"Tusichanganye dini na siasa."
 
Badala ya kuja na hoja juu ya vipengele vya mkataba wao wanasema tayari vimeshajadilwa, sasa hii inakuwa vipi??? Tena katika hili hupaswi kumu attack mtu/taasisi directly wee jibu vifungu alivyodai vina utata njoo na argument yako kuelezea umakini wake

Sasa ukija na ushubwada kama huu ambao ni mipasho badala ya uchambuzi wa kina mnaonesha ni kwa namna gani mlivyo weupe kichwani

As a matter of fact, govt works on paper, je kuna document yoyote ambayo imetoka serikalini inafafanua kifungu kimoja baada ya kingine? Ningependa kuipata kama ipo niisome kwa makini
 
Back
Top Bottom