Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Utabaki unalia lia kwa miaka mingine mitano. Pole.CCM imetuaibisha sana sana tunaona aibu hata kuitwa watanzania sababu ya aibu ya CCM, mmefanikiwa kuwafanya masikini watanzania sasa mmefanikiwa kuharibu hata image ya nchi kimataifa. Hivi Rais anayechaguliwa kwa wizi anafanya kazi gani na nani atamuamini. Kila anapoomekana watakuwa wanaona wamekutana na mwizi, yaani sasa hivi ikionekana sura yako mtu unakumbuka wizi was kura jamani hii ni aibu kubwa sana
Sasa kura fake siyo ushahidi we kenge KweliHata ukiwauliza wapinzani walete ushahidi wa kuibiwa hawana zaidi watakuletea karatasi za kupigia kura fake!
Chuma kinaogopa upinzani usifananishe Chuma na vitu vya kijingaMtaimba huu uongo,lakini tar 5 chuma kinaapishwa.
Mkuu pamoja na mapunguvu mengi kwenye Katiba ya sasa bado ccm wameisigina.Kidogo kidogo dunia nzima inakuja tanzania kuishinikiza serikali irudie uchaguzi huru na wa haki ikiwa na katiba mpya, si hii katiba ambayo wanaikanyaga wenye mamlaka halafu raia anaelipa kodi hio katiba haimlindi mbele ya vyombo vya serikali. we have to do something.
Mkuu, mbona hakuna kibri hapo? Wanaeleza ukweli mtupu na ushauri wao ni kuntuNi kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Umeandika nini?Tangier link jizi likatambua kupigiwa ukelele wa wizi no haki ya waathirika?
Umeandika nini?
Kila mtu anajua asingeweza kushinda!Yaani Magufuli anawaogopa na kuwazimia internet 16% ya watu ambao hawakumpigia kura na kuwaumiza wote including 84% ya Watanzania waliompigia kura? Makes no sense at all.
Kwanini mwaka 2020 na sio 2015? It seems TISS walimwambia mapema kabisa kwamba huwezi kushinda na njia pekee ni kupora mchana kweupe
Yale mataifa yaliyotoa Pongezi hayako Duniani ama?Kila pande ya Dunia inapiga yoweee... mwizii...mwiziiii...mwiziii huyoooo hana aibuuu mchana kweupeee...mwiziiiiii
Sio kiburi ni mtazamo wa vijana wengi!, sio kila kijana anachozungumza ni kibr HAPANA!, Unachotakiwa kufanya ni kujenga hoja ya kupinga walichokisema sio ukimbilie kusema ni kibri.Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636