Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Yap kumekucha mimi nasubiria tarehe 11 August,hiyo order wapewe na hata wale wanaosemekana wako hadi ikulu(Wanyarwanda)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mleta mada, usifanye masihara na mambo ya msingi, hiyo heading yako haipo sawa kabisa.
 
Mleta mada kuna ujumbe alitaka kutupa ila tatizo kaongozwa zaidi na hisia.Bosi alisema wahamiaji haramu.Na wasipoondoka mpaka tarehe hiyo nasema wapigwe tu.
 
Raisi aliposema tasnia ya habali imevamiwa na Makanjanja baadhi walibisha sasa niulize hivi tu kwa mwandishi huyu. Anawafukuza wahamiaji halamu au wanyarwanda?
 
Mleta mada unauzandiki wako kipekee, waliopewa amri ya kuondoka kwa hiari si "wanyaruanda" pekee bali ni WAHAMIAJI haramu wote,

Uandishi wa kichwa cha uzi kama huo ni wakizandiki na kibaazazi kabisa,

Unaleta uchochezi wa kikuda hapa?

Pumbaaaaaaaaaafu kabisa!
 
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.

we mtusi ustuzingue na kiswahili chako kama cha muuaji Kagame,mrudi kwenu si mnasema Tanzania ovyo.
 
wahamiaji haramu sio lazima wawe wanyarwanda wanaweza kuwa wamalawi, wakenya, wazambia au wacongo. Tena wakongo ndio wengi kuliko wengine
 
nimefurahishwa na tamko la rais ila nataka atoe tamko kama hilo kwa mafisadi na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya
 
Wote tushiriki kuicheza, usingoje kuchezewa na wenzio! JAMANI HEBU TUFANYE KWELI, NA HILI ZOEZI LIWE ENDELEVU NA LIHUSISHE NCHI YOTE!
Tumezoea kuona wa'Asia' wakisumbuliwa na maafisa uhamiaji kuhusu 'work permits' lakini wahamiaji haramu weusi hawaguswi! kuna haja ya kila mgeni kuripoti kwa balozi wa nyumba kumi kama zamani na kila balozi atakayethibitika kuhifadhi mhamiajii haramu awajibishwe ki'sawasawa'!
Mkuu kwa hilo usihofu nimejipanga vilivyo na kwa kuanzia nimeitisha mazungumzo na vijana wangu hapa mtaani waanze na wanaojiita wakongoman (hawa bwana kwanza wamezidi kutuharibia dada zetu na wanafunzi wetu huku mitaani), pili hao intarahamwe na watutsi wao watafuatia.

Hao jamaa walinisumbua sana wakati mmoja nilipokuwa napita maeneo ya Ngara, ilibidi tusubiri kusindikizwa na polisi utafikiri sio Tanzania bhana, na kusababisha tuchelewe shughuli zetu tulizokuwa tunakwenda kufanya.
 
Mkuu mbaya zaidi wakati sisi tunahangaika na shida zote hizo zilizotokana na kuwahifadhi hawa watu, kiongozi wao anajifungia sehemu na rais wa Kenya kwa kushilikiana na M7 wanaweka mikakati ya kupunguza nguvu bandari yetu. Kama kweli maisha ya Rwanda ni bora kuliko ya kwetu kama wanavyodai, kwa nn wahangaike kukimbilia mikoa mingine badala ya kwenda kwao kwenye neema.

Fadhila mpe Mbuzi binadamu hana maana mkuu ndiyo hulka ya binadamu unamsaidia lakini bado anakuona ---- nadhani kati ya nchi zinazotuzunguka Rwanda walitakiwa kuwa wapole sana na kujipendekeza mno kwetu kwasababu wanatuhitaji zaidi ya tunavyowahitaji sasa Arrogance ya raisi wao ndo inawaponza wajifunye kwa wenzao wakenya wanajua sana umuhimu wa TZ kwa nchi yao that's why hawawezi kutuletea upuuzi puuzi kama huo wa Kagame
 
ALEYN Tatizo ni kubwa zaidi, Wapo kila sehemu, mpaka wengine ni wameajiriwa Usalama wa Taifa Tanzania. Wenyewe wanajifanya ni wakazi wa Mkoa wa Kagera, wengine wamejipachika makabila ya Kitanzania wanajiita Wahaya, Wanyambo lakini si kweli. Ila Wahaya na Wanyambo + Wahangaza wanawajua vizuri kuwa ni Watutsi.
umenena kweli nafikiri hii issue ianzie mpaka maofisini njia ya kuwapata itakuwepo moja wapo ni kufuata clan. kweli wengi wao wanajiita wahangaza, wanyambo wahaya n.k. lakini watafutwe tu. tena kwenye hili zoezi kama mdau aliivyosema hapo juu wengi sasa hivi wanakimbilia Arush, Mwanza wamejaa tele, visiwa vya ukerewe huko nasikia wanajihusisha na ujambazi ndiko wanakoenda kujificha, Dar es Salaam pia wako wengi kweli maafisa uhamiaji ndio wamefanya tatizo kuwa kubwa yaaani wengi wanawapa vibali vya kusafiria hata passpoti. sasa ni wakati wa kusema basi tuwe wazalendo na nchi yetu. Tujifunze kutoka DRC. maana nwanaitaka sana Goma na mashariki ya Kongo iwe yao ndio maana hawafurahii kabisa kuona amani inapatikana Kongo.

Naishauri tu serikali yetu iwe mwangaliifu hasa kwenye hili zoezi la uandikishwaji wa vitambulisho vya uraia maana wengi wanaingia nchini ili wavipate kamwe moja ya mahitaji isiwe kitambulisho cha mpiga kura maana wanavyo vya kumwaga.

Hawa Watutsi asilimia kubwa sio wema wanakuchekea usoni ili wapate wanachotaka wakishapata wanakuona mavi. wanajiona wao ni bora.
 
Na tukifuata ushauri wa PM hawa wanyarwanda wakileta ukorofi vyombo vyetu vya dola VIWAPIGE TU TUMECHOKA.
 
Mleta mada unauzandiki wako kipekee, waliopewa amri ya kuondoka kwa hiari si "wanyaruanda" pekee bali ni WAHAMIAJI haramu wote,

Uandishi wa kichwa cha uzi kama huo ni wakizandiki na kibaazazi kabisa,

Unaleta uchochezi wa kikuda hapa?

Pumbaaaaaaaaaafu kabisa!

Mmejaa sana kigamboni, mnazani kukaa ng'ambo ya bahari ndio tija. Na huko zoezi linakuja, nawafahamu wengi huko. Raia wa Rwanda, Somalia na Burundi mpo wengi Kigamboni mnaishi kinyume cha sheria. Wengine mnamiliki ardhi. Ni wakati sasa umefika sheria ichukuwe mkondo.
 
Juzi Nilianza safari kutoka Kahama kwenda mji mdogo wa Benaco wilayani Ngara mkoani Kagera.

Nilikuwa ktk usafiri wa public katika mji mdogo wa ushirombo traffic alisimamisha coaster yetu na kumwambia dereva Kuwa "jumamosi ndo mwisho wako kwenda Kahama tukikuona tutajua la kufanya" alikuwa na asili ya kinyarwanda.

baada ya kufika Benaco hali ilikuwa tete warundi na baadhi ya wanyarwandwa wakiwa katika misururu mithili ya watumwa enzi zile.Hakika Tamko la Kikwete wahamiaji haramu wamekiona cha mtema kuni.

Kila sehemu za kijiwe mjadala ni huo wa kuondoka wanyarwanda mji wa Benaco na Ngara ni moja ya sehemu zilizo na wahamiaji haramu wengi sana. Wahangaza wa Ngara na wanyambo wa Karagwe wanawazodoa wanyarwanda waishio ktk maeneo hayo.

Wamefikia hatua ya kutishiana Kuwa tarh 10 Aug ndo deadline subirini Mje muone tutakacho wafanya baada ya hiyo tarehe.

Nimeweza pia kushudia jinsi gari zinavyopkia abiria wanoitwa wahamiaji haramu kutoka Karagwe kurudi Rwanda na Burundi.

Leo nimefika wilayani Karagwe gumuzo ni Hilo tu Watusi sasa wanauza mifugo Yao kwa bei chee na kurudi rwanda wengine wasubiri hadi Cku ya mwisho waone nini kitatokea dhidi Yao. Wenye peas zao wameanza kununua n'gombe kutoka kwa wanyarwanda kwa fujo kutokana na kile wanachodai "hili Tamko la JK ni Tamko la Neema kwa wazawa"

Wengi wao wanaondoka kwa kulaani vikali kauli ya Kagame ilivyowageukia wao, wanasikitika sana na kusema bora aombe radhi kwa matamshi, kejeli na matusi aliyomtukana JK. Kwani ndo vilivyo wafikisha hapo walipo.


wenyeji wa mipikani wanasema Rwanda ipo Karibu kuingia ktk machafuko ya wenyewe tena na safari hii chanzo kitakuwa ni ardhi." Sikia bro mamia ya hawa wanaondoka Kilasiku wataishi wapi huko rwanda? ardhi hawana na kagame alishasema ni marufuku kufuga ngombe zaidi ya sita" alisikika kijana akisema,. Lakini wapo wabishi wanasema Kuwa operation ikianza wao watatokomea polini na n'gombe zao.

Asubuhi ya Leo nilikuwa ktk mji wa kayanga nikajaribu kujichanganya kwenda kijiwe cha kahawa, gumuzo ni Hilo tu. afande m1 alisikika akisema ngoja jp mpaka ufungwe halafu tuanze kutafutana.

Macho yetu liwalo na liwe, nasikia ni operation itakayo jumuisha taasisi tatu, Jwtz, police na uhamiaji.
 
Tusubiri tuone

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom