Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Superman ni WANYARWANDA au WAHAMIAJI HARAMU?
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.
Mkuu kwa hilo usihofu nimejipanga vilivyo na kwa kuanzia nimeitisha mazungumzo na vijana wangu hapa mtaani waanze na wanaojiita wakongoman (hawa bwana kwanza wamezidi kutuharibia dada zetu na wanafunzi wetu huku mitaani), pili hao intarahamwe na watutsi wao watafuatia.Wote tushiriki kuicheza, usingoje kuchezewa na wenzio! JAMANI HEBU TUFANYE KWELI, NA HILI ZOEZI LIWE ENDELEVU NA LIHUSISHE NCHI YOTE!
Tumezoea kuona wa'Asia' wakisumbuliwa na maafisa uhamiaji kuhusu 'work permits' lakini wahamiaji haramu weusi hawaguswi! kuna haja ya kila mgeni kuripoti kwa balozi wa nyumba kumi kama zamani na kila balozi atakayethibitika kuhifadhi mhamiajii haramu awajibishwe ki'sawasawa'!
Mkuu mbaya zaidi wakati sisi tunahangaika na shida zote hizo zilizotokana na kuwahifadhi hawa watu, kiongozi wao anajifungia sehemu na rais wa Kenya kwa kushilikiana na M7 wanaweka mikakati ya kupunguza nguvu bandari yetu. Kama kweli maisha ya Rwanda ni bora kuliko ya kwetu kama wanavyodai, kwa nn wahangaike kukimbilia mikoa mingine badala ya kwenda kwao kwenye neema.
umenena kweli nafikiri hii issue ianzie mpaka maofisini njia ya kuwapata itakuwepo moja wapo ni kufuata clan. kweli wengi wao wanajiita wahangaza, wanyambo wahaya n.k. lakini watafutwe tu. tena kwenye hili zoezi kama mdau aliivyosema hapo juu wengi sasa hivi wanakimbilia Arush, Mwanza wamejaa tele, visiwa vya ukerewe huko nasikia wanajihusisha na ujambazi ndiko wanakoenda kujificha, Dar es Salaam pia wako wengi kweli maafisa uhamiaji ndio wamefanya tatizo kuwa kubwa yaaani wengi wanawapa vibali vya kusafiria hata passpoti. sasa ni wakati wa kusema basi tuwe wazalendo na nchi yetu. Tujifunze kutoka DRC. maana nwanaitaka sana Goma na mashariki ya Kongo iwe yao ndio maana hawafurahii kabisa kuona amani inapatikana Kongo.ALEYN Tatizo ni kubwa zaidi, Wapo kila sehemu, mpaka wengine ni wameajiriwa Usalama wa Taifa Tanzania. Wenyewe wanajifanya ni wakazi wa Mkoa wa Kagera, wengine wamejipachika makabila ya Kitanzania wanajiita Wahaya, Wanyambo lakini si kweli. Ila Wahaya na Wanyambo + Wahangaza wanawajua vizuri kuwa ni Watutsi.
Mleta mada unauzandiki wako kipekee, waliopewa amri ya kuondoka kwa hiari si "wanyaruanda" pekee bali ni WAHAMIAJI haramu wote,
Uandishi wa kichwa cha uzi kama huo ni wakizandiki na kibaazazi kabisa,
Unaleta uchochezi wa kikuda hapa?
Pumbaaaaaaaaaafu kabisa!