Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Leo kwenye mkutano wa ACT wamekata sauti wakati bwege anananga udhalimu wa utawala huu dhalimu kuhusu kuzulumu wakulu,watumishi,kumiliki wasiojulikaWapeleke upuuzi huko.
Hakuna mtu atawaomba radhi hao wazee wa bahasha za kaki, hizo njaa zao wazipeleke huko CCM.
Wangekua na nia njema wangekua wanakemea madhila waaliopata kina Azory Gwanda au wangepigia kelele hii sheria ya vyombo vya habari inavyotumika kukandamiza vyombo vya habari kupitia idara ya habari maelezo chini ya Dr. Abassi.
Walikata sauti bwege alipokuwa akiongea,Mbowe keshatengenezewa zengwe la kiutu uzima. Leo ACT mkutano wote umeonyeshwa, maana yake mzee wa Hai keshawekwa kwenye kona ya kutakiwa kujitetea.
Siasa ni lazima uisomee na ufaulu mitihani ya vyuoni.
Wamekuja na sheria za kutumia drone sababu ya lisu syndrome, yote ni kumuhofia.mzungu anatengeneza drone mwafrika anatengeneza sheria kuzuia matumizi ya drone kwa sheria za maagizo hazijapitia hata bungeniMmawia,
Wanateseka sana kuona lissu anajaza mikutano pasipo kutumia nguvu ya vyombo vya habari na wasanii. Mwaka huu kawashika kubaya mno.
Huo unguli iikuwa enzi za Tido Mhando na JK angalau. Sasa hivi TBC ni hovyo kabisaTBC ndio nguli wa habari nchini huwezi kuwatimua kizembezembe vile!
Duh....!TBC ndio nguli wa habari nchini huwezi kuwatimua kizembezembe vile!
Mamlaka zinazoundwa na serikali huwa na nguvu ya kisheria. Drones zinaweza kugeuka kuwa silaha, zikiwa mikononi mwa mtu mwenye nia mbaya ni za hatari sana kiulinzi.Wamekuja na sheria za kutumia drone sababu ya lisu syndrome, yote ni kumuhofia.mzungu anatengeneza drone mwafrika anatengeneza sheria kuzuia matumizi ya drone kwa sheria za maagizo hazijapitia hata bungeni
TBC wanatakiwa kujitathimin, pamoja na kwamba yawezekana mbowe aliotoa maamuzi kwa hasira, maana kila ukitazama TBC haipiti dakika tano bila kuona au kusikia maneno ya mheshimiwa akielezea mafanikio katka utawala wake. Kitu ambacho sidhan kama n sahihi wakati huu wa kampen , maana toka aingie madarakan alikataza maswala ya siasa bas tukaridhika kumwona yeye tu. Na sasa tena tuendelee kumwona yeye tuuuuu?Wapeleke upuuzi huko.
Hakuna mtu atawaomba radhi hao wazee wa bahasha za kaki, hizo njaa zao wazipeleke huko CCM.
Mbona sheria nyingi kipindi hiki,so mwenye nia ovu akitaka si anachukua kibali tu na kulipia,sema kama lengo ni kutunisha mapato ya kampeni kila mkoa unalipa kwa hela ya mabeberu na si madafuMamlaka zinazoundwa na serikali huwa na nguvu ya kisheria. Drones zinaweza kugeuka kuwa silaha, zikiwa mikononi mwa mtu mwenye nia mbaya ni za hatari sana kiulinzi.
Marekani anawauwa magaidi wake kwa kuzitumia hizo hizo drones. Huyo Lissu umemuona mtu muhimu sana mpaka mamlaka za nchi zifanye kazi kwa kumuogopa?.
Siku hizi kuelekea uchaguzi kila kitu kinatazamwa kwa jicho la kisiasa. Kumbuka kuwa hizi drones zimechangia katika kuongeza mapato makubwa ya mamlaka ya anga tangu awamu ya tano ilipoanza.Mbona sheria nyingi kipindi hiki,so mwenye nia ovu akitaka si anachukua kibali tu na kulipia,sema kama lengo ni kutunisha mapato ya kampeni kila mkoa unalipa kwa hela ya mabeberu na si madafu
Mimi ni Mtanzania..., Sikupigwa na butwaa...!!! Ila kila siku napigwa na butwaa hiki chombo kinachoendeshwa kwa ruzuku ya Kodi ya watanzania wote kinavyotumika kama chombo cha Propaganda...Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Kwa sababu ulikuwa unakula na kusaza bila kufanya kazi.Huo unguli iikuwa enzi za Tido Mhando na JK angalau. Sasa hivi TBC ni hovyo kabisa
Muongo mkubwa, hotuba ya mheshimiwa Bwege waliikata yoteMbowe keshatengenezewa zengwe la kiutu uzima. Leo ACT mkutano wote umeonyeshwa, maana yake mzee wa Hai keshawekwa kwenye kona ya kutakiwa kujitetea.
Siasa ni lazima uisomee na ufaulu mitihani ya vyuoni.
Cdm hatuna cha kupoteza kwenye hili. Na hao hao makanjanja wajiandae siku mh Lissu akisha apishwa.
Hata wewe kuamini kuwa mgombea kutoka ccm ndiyo pekee mwenye haki ya kupata urais wa nchi hii ni upumbavu wa kiwango cha SGR.Umeandi upumbavu. Kuamini Lissu atakuwa rais wa nchi hii ni kuonesha wewe una akili za kuvukia barabara tu. Mwenye akili timamu hawezi dhani Lissu atakuja apishwa kuwa rais. Labda kuapishwa kuwa mwenyekiti wa kijiji flani...[emoji23][emoji23][emoji23]
Zitto na Membe hotuba zao zimeonekana zote.Muongo mkubwa, hotuba ya mheshimiwa Bwege waliikata yote
Halafu ni kwa CHADEMA na ACT ndo wanafanya hivi!!kwa ccm hamna jambo hili.Huu ni upuuzisijawahi waza kama TBC ni wapuuzi kiasi hiki. wanaonyesha pich huku wanatangaza wao