Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
na ssitovunja kile kiapo cha pale chachi naapa.
Mbona kule kwenye uzi wa tinna cute umejibu kwa mikogo sana, ni dalili njema kweli zile..!?
Hajamjibu vibaya ila ndo vile katupiamo tuswaga twa ki blaki amerikan hadi nikawa na wasiwasi..
Hawezi kukukataza, kwanza na yeye itakuwa imemuongezea CV kwamba ameoa mtu ambae alishawahi kutoka outting na MWENYEKITI...
Cc. Arushaone.
Hakuna zaid yako mke wangu...si waona mwenyekiti alivyo mfitini? lazima tumpindue...
Make it soon baby....
Morning babe......
Halafu wewe...!
Morning love....
yaani nnavyobanwa........kwanini usihamie tu kambi yetu.......
...basi si kosa lako ila nitumie namba yako kwenye pm nikupie uongee naye.mwenyewe ndio utaamini.
mgonjwa yuko mashakani, wameanza kuombana namba!?, angalia hapo kwenye kuombana wasije wakaweka "t" itakuwa imekula kwako lady doctor...
nimeku miss ujue...