TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

DEMBA
ataufanya tu,majukumu yakiwa mengi atakosa muda wa kwenda badilisha wanaume kama nguo.
Slave wewe humjui vizuri huyu Heaven on earth na sasa hivi yupo bize kutafuta muzungu akimpata tu ujue ndo hamumuoni tena na alivyo na hamu ya kwenda miami na yeye akaoshe mbona atamlazimisha wakaishi huko.
 
Last edited by a moderator:

Yani utatumia mbinu zote,hunipati ng'o..
Jamani Baba V mbona mwanakamati uliyenipa ( Mtambuzi) ni mkimbizi haramu na operesheni kimbunga imemtupa Goma?
Hizi tuhuma kuhusu Erickb52 kama ni za kweli basi ni bora Chocs achukue ukimbizi aje akae kwenye li apartment langu masaki.
 
Last edited by a moderator:
Jaman Baba V si tulikua wote ziarani muda wote huo afu unasema ulikua sudan
 
Last edited by a moderator:

mi ntajilinda mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
^^
Asante kwa kunitaja..lakini una kumbukumbu nzuri kuwa nilishahama jukwaa.
Chit Chat ina wenyewe.
All the best
^^
 
Madame B nakuona unachungulia tu hapo, tia neno.
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel uko wapi..........nahitaji kumbatio lako.....

ingawa najua tuko Brigade tofauti

I have entrusted you with great responsbilities of protecting chit chat against rebels like Vin Diesel, when you start hugging and cuddling the rebel you leave me like.............!!!!''????
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel uko wapi..........nahitaji kumbatio lako.....

ingawa najua tuko Brigade tofauti

I have entrusted you with great responsbilities of protecting chit chat against rebels like Vin Diesel, when you start hugging and cuddling the rebel you leave me like.............!!!!''????..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…