Nitaweka silaha chini nikiona Kiongozi wa uasi kaanza yeye...
Maybe you will be triumph....butyour vict ory will last short....mark my words old man
Babe kumbe na wewe kakiingerreza kamo lolest........
Tell me your not serious.....
Keep on daydreaming youngman, by the time you wake up we'll be counting trophies...
Nifanye nini uamini kuwa namaanisha yote nisemayo....:A S-cry:
Hehehe...unanitafuta naona
Nimeamini sasa.......ila nashindwa niseme nini
Nisipokutafuta wewe ntamtafuta nani tena!!!!!!!!
Twende tukaandikishe ndoa yetu basi....
Marry me then....
DEMBA hata mimi huniamini!!!!!wewe jiangalie i'm watching.
Tutaandikisha wapi tena si huyu huyu Mwenyekit unaempinga sasa
All over the sudden.......I can sense something
tutatafuta mtu neutral wa kutufungisha ndoa....
i have been asking you to marry u mara nyingi tu....sijaanza leo
kama nani huyo.........
hakiyamama nikijibu hili swali kwisha habari yangu kwa mwenyekiti