Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
 
Inasikitisha sana kuona rais anatoa geenlight ya watu kula keki ya taifa. Rais ametuzalau sana wananchi. Yaani toka nakua na ufahamu wangu sijawai kusikia kauli ya ovyo kama hii ikitolewa na kiongozi wa nchi. Tz inahitaji kukombolewa kutoka ktk kundi la mchwa
 
Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Inabidi tufanye haya mahesabu
images - 2022-01-15T080614.065.jpeg
images - 2022-01-15T080629.533.jpeg
 
Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Hili lilikuwa ni angalizo kwa January Makamba, kwamba asije akala hadi watu wakashtuka, mfano kukodi crane ya tani 26 ukizingatia ni ya kudumu (permanent) kiasi hadi watu tumeshtuka, huko ndiko kuvimbiwa anakozungumzia
 
Lazima aandae mabilioni ya kuja kutumiwa kwenye chaguzi zijazo.
 
Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Asikwambie mtu hela tamu.

Infact hakuna kipimo cha kuvimbiwa.

Kwenye hii michezo ya kuiba kinachoangaliwa sana niibe na nani na kwa mtindo gani mwisho wa siku mambo yakiaribika tusiingie matatani refer escrow.

Mama amewaruhusu wakivimbiwa wao watawaita ndugu jamaa wa karibu nao wale wavimbie and so on.

CCM ni zaidi ya tatizo nchi hii.
 
Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Samia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.
 
Back
Top Bottom