FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli naona umemkalia mama kooni🙂 Sijui ume upload hii video mara ngapi!Mimi jukumu langu ni kutupia haraka sana video ya kutafuna hela za uma bila kuvimbiwa kama mchangiaji wa kwanza.
View attachment 2081545
Waibe tu ila wasivimbiwe au kuloganaNa je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Samia ni raisi wa hovyoNa je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Inabidi tufanye haya mahesabuKipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Tamko la Rais sio sheriaNa je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Hili lilikuwa ni angalizo kwa January Makamba, kwamba asije akala hadi watu wakashtuka, mfano kukodi crane ya tani 26 ukizingatia ni ya kudumu (permanent) kiasi hadi watu tumeshtuka, huko ndiko kuvimbiwa anakozungumziaKipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Lazima aandae mabilioni ya kuja kutumiwa kwenye chaguzi zijazo.Hili lilikuwa ni angalizo kwa January Makamba, kwamba asije akala hadi watu wakashtuka, mfano kukodi crane ya tani 26 ukizingatia ni ya kudumu (permanent) kiasi hadi watu tumeshtuka, huko ndiko kuvimbiwa anakozungumzia
Asikwambie mtu hela tamu.Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Tuwaondoe madarakaniWaibe tu ila wasivimbiwe au kulogana
Samia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.Kipimo cha kuvimbiwa ni nini? Kuna wengine hata wakila kidogo tu, tumbo linakuwa kubwa kama vile limejaa sana, na wengine hata wamalize mapipa kumi ya chakula bado tumbo halitokezi na huwezi jua kuwa wameshakula. mtu mwenye tumbo dogo kwa kula hawezekani. Hakuna Waziri au mtumishi wa serikali atakayevimbiwa, na watakula mpaka ukoko.
Lowasa mlimgeuza tunu yenu.Sheria zetu zina uwezo wa kufunga vibaka na sio fisadi,chenge asingekuwepo uraiani
Wapi alifungwaLowasa mlimgeuza tunu yenu.
Sheria zetu hazina uwezo wa kumfunga fisadi labda vibaka