Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Wewe hukusikia? Ni ruhsa. Kula kadri ya UREFU wa KAMBA yako!! Yaani amewaweka PCCB ktk hali ngumu sana. Mtu akitumia hilo tamko kama utetezi mahakamani na a quote SSH alivyosema. Basi Kesi inaishia hapo hapo. Hatari sana
 
Wiki chache zilizopita nilikwenda mkoani simiyu kwenye wilaya moja inaitwa meatu kwenye shughuli zangu tu.
Huko meatu kuna rafiki yangu wa miaka mingi anafanya kazi pale halmashauri kwa miaka mingi sana.
Huyu bwana ukweli ulio wazi hana jipya sana, anafanya sana kazi ila hana kamba. Huyu hataweza kujjpimia hata kidogo labda siju moja aje kuteuliwa kuwa mkurugenzi(DED).
Ila kwa sasa ni choka mbaya japo hivyohivyo maisha yanaenda.
Watu Kama Hawa ambao hawana kamba watajipimiaje?
Kwa mfumo wa maisha niliuona kule huyu hadi anastaafu hatakuja kupata kamba, hivyo kwenye kujipimia muwafikirie na Hawa watendaji ambao wapo mazingira magumu kidogo.
 
Amesema ukweli japo unauma hana jnsi ya kuuficha ukweli, ni serikali ipi ilikuwa haina wezi?. Hata iliyojenga na mahakama ya mafisadi iliwahukumu na kuwafunga wangapi?. Ruksa kula kwa kamba zenu tangu mwanzo hamkufundishwa kushiba ni walafi tu mpaka chama hicho kitakapotoka madarakani.
 
16402654753460.jpg
 
Wiki chache zilizopita nilikwenda mkoani simiyu kwenye wilaya moja inaitwa meatu kwenye shughuli zangu tu.
Huko meatu kuna rafiki yangu wa miaka mingi anafanya kazi pale halmashauri kwa miaka mingi sana.
Huyu bwana ukweli ulio wazi hana jipya sana, anafanya sana kazi ila hana kamba. Huyu hataweza kujjpimia hata kidogo labda siju moja aje kuteuliwa kuwa mkurugenzi(DED).
Ila kwa sasa ni choka mbaya japo hivyohivyo maisha yanaenda.
Watu Kama Hawa ambao hawana kamba watajipimiaje?
Kwa mfumo wa maisha niliuona kule huyu hadi anastaafu hatakuja kupata kamba, hivyo kwenye kujipimia muwafikirie na Hawa watendaji ambao wapo mazingira magumu kidogo.
Uzwazwa wake ndiyo umasikini wake.Ajalazimishwa kubaki hapo alipo.
 
Back
Top Bottom