Lim Hoo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 438
- 1,031
Pengine hata baadhi ya ndugu katika ukoo hawafahamuSamia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hata baadhi ya ndugu katika ukoo hawafahamuSamia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.
Wewe hukusikia? Ni ruhsa. Kula kadri ya UREFU wa KAMBA yako!! Yaani amewaweka PCCB ktk hali ngumu sana. Mtu akitumia hilo tamko kama utetezi mahakamani na a quote SSH alivyosema. Basi Kesi inaishia hapo hapo. Hatari sanaNa je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Waambie wabebe afu waone moto.Mnapenda Sana upotoshaji nyie.Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
Magu mwenyewe alishindwa kumfunga hata mmja,akajikuta anaingia 18 za RostamFisadi afungwi ulipa faini kiduchu au miaka kiduchu jela.
Anapoteza muda tu. Samia ni mpaka 2030 iwapo Mungu atapenda.Kwa kweli naona umemkalia mama kooni🙂 Sijui ume upload hii video mara ngapi!
Mbuzi mwenye akili kwanza kabisa anaanza kuila kamba yaani kivyovyote vile lazima kwanza aile kamba.Inabidi tufanye haya mahesabuView attachment 2081817View attachment 2081819
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msio na kamba tumieni minyororo
Msitusumbue, fanyeni kazi
Punguzeni kulialia
Acha kufanya demage control.Lazima aandae mabilioni ya kuja kutumiwa kwenye chaguzi zijazo.
Uzwazwa wake ndiyo umasikini wake.Ajalazimishwa kubaki hapo alipo.Wiki chache zilizopita nilikwenda mkoani simiyu kwenye wilaya moja inaitwa meatu kwenye shughuli zangu tu.
Huko meatu kuna rafiki yangu wa miaka mingi anafanya kazi pale halmashauri kwa miaka mingi sana.
Huyu bwana ukweli ulio wazi hana jipya sana, anafanya sana kazi ila hana kamba. Huyu hataweza kujjpimia hata kidogo labda siju moja aje kuteuliwa kuwa mkurugenzi(DED).
Ila kwa sasa ni choka mbaya japo hivyohivyo maisha yanaenda.
Watu Kama Hawa ambao hawana kamba watajipimiaje?
Kwa mfumo wa maisha niliuona kule huyu hadi anastaafu hatakuja kupata kamba, hivyo kwenye kujipimia muwafikirie na Hawa watendaji ambao wapo mazingira magumu kidogo.