Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Just a piece of an advice to chadema,pambaneni na serikali na muache kupambana na uislam na waislam
THE BIG SHOW Ritz na FaizaFoxy walipotea kipindi cha JPM. Naona toka "mwenzao" arudi wamekua active sana.

Hao CHADEMA waliwatetea wazi wazi wale masheikh wa ugaidi & Ponda toka wanakamatwa. Eti leo hii mnawaita wanampinga Samia kisa Muislam? Kwani JPM naye alikua muislam?

Acheni inferiority complex isiyo na tija. As a president she's prone to mistakes which are subjected to criticism irrespective of her gender or religion.
 

Hilo waambie wafuasi wenzako sasa kama yericko na kigogo,hao na wengine wengi wameanzisha hii movement ya kumtukana huyu president kisa tuh ni Muislam,na wamesema waz waz, unataka sisi tukae kimya??
 

Naona unalazimisha kuonekana ni muislamu, ww sio muislam bali unajina la kiisilamu. Waislamu halisi wameongea, na hata wangeamua kukaa kimya bado ukweli tunaujua. Mbowe sio gaidi hata ungekuwa na chuki vipi na cdm kwenye hili hutoboi. Dhalimu Magu tulimpa ukweli wake na hatukujali jina lake la kikristo, na mama hatujali kama ni muislamu wala nini, tunampa ukweli. Ww pita kwenye misikiti yote waambie kuwa Samia anakosolewa kwakuwa ni muisilamu lakini hatumuachi akizuia katiba mpya.
 
Hilo waambie wafuasi wenzako sasa kama yericko na kigogo,hao na wengine wengi wameanzisha hii movement ya kumtukana huyu president kisa tuh ni Muislam,na wamesema waz waz, unataka sisi tukae kimya??
Hao akina Kigogo wamemtukana Magufuli sana tu.

Haya mambo ya Maraisi kupingwa, kusemwa vibaya yataendelea kuwepo milele tu, hawatukanwi sababu ya dini yao wanatuknawa kwa sababu ni wafanya maamuzi yanayogusa maisha ya watu kwa hiyo lazima watapokea reaction yoyote
 

Besides,

Mimi sijasema mbowe ni gaidi,ni polisi wanasema ana tuhuma za ugaidi!!

Waulize wafuasi wenzenu kina yericko uislam wa mama samia unaingiaje hapo? Hawawez kujenga hoja yao bila kuuhusisha uislam?
 

Sawa,walimtukana lakin hawakusisha na iman yake,na hicho ndicho ninachokisimamia
 
Mkuu nakupa heshima zote,wewe ni Muilsamu safi huna Unaa. Kipindi cha Ditketa Jiwe tulikuwa wote humu kumpinga bila kujali imani yake. Na sasa tutaendelea kumpinga Mama bila kujali Jinsi wala Dini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi lenu la wajinga naona leo mmeitana kuendeleza upuuzi wenu kama kawaida, wenzio wamekuja na uzi wa kipuuzi hapa wamelishwa shubiri mods wakawafichia aibu wakaondoa ule uzi.

Simply nyie mnawakalisha kikundi cha walemavu wa hoja mliozoea kuegemea kwenye kivuli cha udini ili kuficha ujinga uliojaza vichwa vyenu, mmejijengea reputation ya wapuuzi wa jf.
 
Mods msifute hizi nyuzi mnaficha nini wafuasi wa Chadema wao ndiyo wameamua kupambana na Waislam waacheni.
 
Waislamu wanahangaika kutete chama cha watu wa kasakazini. Wenye chuki mbaya na Waislamu.
Mimi nashangaa sana sijui wamerogwa na mitishamba ya chadema?
Wasemaji na washauri wenyewe ndio hawa vichwa maji kina @yerichonyerere na bi mdogo wake Kigogo.
Hawa bulldozer ndio alikuwa anajua namna ya kuwatia adabu.
Sasa wameanza kuharibu amani tena huko mwanza.
Hawa ni kuwafungia tu jumla.
 
Siku hizi wapo mbelembele na nyuzi zao za kebehi na bezo.
 
Walimtukana kama hivi? Usiwe punguani kujifanya uoni matusi ya wafuasi wenzako wa Chadema dhidi ya Waislam

 
Wewe waite Waslam matusi yote siyo wa kwanza kufanya hivyo Waislam wanahusika vipi kwa kukamatwa Mbowe mpaka muwatukane hivyo?
 
Walitoa tamko wazee wa uamsho walipoachiwa?
 
Kama wafuasi wa Chadema mnatukana Waislam halafu mnataka Katiba mpya kwa style hiyo labda katiba iwe ya Kanisa.
 

Acha kuwa mpuuz,by the time Magufuli anakuwa criticized alihusishwa na ukristo wake??

Usijitoe ufaham,tunajua mlipooegemea
 
Katiba mpya mnayotaka ni ipi.?
Mnalazimisha ugalatia iwe katiba au!
Mtulishe viti moto na mbege kama wakimbizi sio?
Hicho chama chenu ni nuksi.
Haiwezekani mkatuletea agenda za kumwaga damu tukae kimya.
Mbowe hafai kabisa kuongoza hata mtaa wacha nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…