zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yeriko na kigogo ni nani hapo CHADEMA hadi uchukue matamshi yao kama official party statement? Kwahiyo Lukuvi aliposema Zenji itakua dola ya kiislam siku ikiwa huru ulikua msimamo wa chama??Acha ujinga wako,ponds alisimama nayeye kwenye majukwaa ya kisiasa kuipigania chadema au umesahau??
Hiyo ilikua ni win win kwenu nyote,pia hiyo haiwez kujustify hawa mafala wenzenu wa chadema kama yericko na kigogo kumtukana samia na waislam,wafikishie hizo habari
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
Kwahiyo wakiwapigania masheikh wanatafuta kura za waislam? Sasa hao hao wamkosoe Mama Samia kisa ni muislam tena?? Si watapoteza kura za waislam??Mliwapigania wapi masheih acheni unafiki kuna watu walikuwa wanatoa michango yao wanaangalia familia zao nyie mlikuwa mnatafuta kula za Waislam, mliowapigania ni kina mdude.
wewe unamuabudu Mbowe au Mungu.Acha kuandika uongo!!! Mbowe hajatenda umafia wala ugaidi wa aina yoyote ile. Watanzania wazushi kama wewe ni hatari sana kwa Taifa.
wewe unamuabudu Mbowe au Mungu.
unadhani akifa utazikwa nae au utazibeba dhambi zake?
tumia akili wewe, nafsi ya mtu ni kichaka inawezekana hata mke wake hajui baadhi ya mambo sembuse ww?
hivi hujawahi kuona mchungaji kabaka au sheki? sasa unashangaa nn kwa Mbowe kuwa Gaidi?!
Waache wafanye, nimewaona wakijaribu. Pengine hawafahamu Waislamu kiundani ni akina nani!Chadema onyeni vijana wenu kuhusisha kukamatwa kwa mbowe na udini wa mama samia.
Huko wanapokwenda waislamu wenye akili na wapenda haki watashindwa kuwaunga mkono.
Hovyo sana hawa watu wanajiharibia sana hawajui tu.Waache wafanye, nimewaona wakijaribu. Pengine hawafahamu Waislamu kiundani ni akina nani!
Watawahoji kipindi cha awamu iliyopita mbona matendo yake hayajanisibishwa na dini yake bali ni yeye mwenyewe.
Iweje huyo mumnasibishe na dini yake? Wataulizwa tu mna chuki na Uislam? Na ikishafika hii hatua wasidhani hata akina Sheikh Ponda watawaunga mkono.
Wengine wamefika mbali wamekashifu wazanzibar (japo mi ni wa bara).
Waache waje!
Usipoteze muda wako kuwajibu hao kenge, ni waoga siku zote hawana hoja wana akili ndogo sana, wameitana kuja kujaza pumba zao hapa.Wafuasi gani? Yaani comment ya fake account ndio ionywe na Mnyika?? Are you serious?
Samia is a weak president we najua unamtetea kma ulivyomtetea JK kisa udini licha ya kwamba nchi ilimshinda so piga kelele tu za udini hku Kusini mkizidi kudidimia kwenye umasikini till siku ukigundua adui yenu wa kweli ni CCM au Wakristo!!
Huna akili, wewe na mwenzio mlioitana kujaza huu uzi pumba zenu ni mazezeta tu.Wewe waite Waslam matusi yote siyo wa kwanza kufanya hivyo Waislam wanahusika vipi kwa kukamatwa Mbowe mpaka muwatukane hivyo?
Ni suala la muda tu utalikumbuka sana hilo li ibilisi lakoPopularity ya Samia imeshuka sana nyie endeleeni kumtia upepo tu. Bajeti yake imefeli kabla haijaanza at the same time anaiga udikteta wakati hana results za kuonyesha wananchi??
Hyu akifika 2025 akiwa ikulu itakua muujiza. Mara kumi lile Ibilisi lilikua linajificha kwenye madaraja na mabarabara kudanganyia watu ssa huyu ataonyesha nni??
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.Waache wafanye, nimewaona wakijaribu. Pengine hawafahamu Waislamu kiundani ni akina nani!
Watawahoji kipindi cha awamu iliyopita mbona matendo yake hayajanisibishwa na dini yake bali ni yeye mwenyewe.
Iweje huyo mumnasibishe na dini yake? Wataulizwa tu mna chuki na Uislam? Na ikishafika hii hatua wasidhani hata akina Sheikh Ponda watawaunga mkono.
Wengine wamefika mbali wamekashifu wazanzibar (japo mi ni wa bara).
Waache waje!
Naomba mlione na alilobambikiwa mwenyekiti wa chama,kwani linamfanano na lili la mashed wa uamsho .SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA
Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa Demokrasia na haki za binadamu.
Tumepokea tukio hili kwa masikitiko makubwa.
Kushikiliwa kwa Viongozi hao wa CHADEMA na baadhi ya wanachama hao, kumetokea muda mchache kabla ya kufikia tarehe ya Kongamano la Kikatiba lilio andaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kufanyika Jijini Mwanza Ukumbi wa Tourist Hotel.
Kukamatwa kwa Viongozi hao ni kiashiria tosha kuwa Jeshi la Polisi nchini lina endeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba. Na kuendelea kuwazui Watanzania kutotumia haki yao ni kuvunja Katiba.
Shura ya Maimamu Tanzania inalitaka Jeshi la Polisi Tanzania kuwaachia viongozi wote wa CHADEMA na wanachama wake bila masharti yoyote.
Pia tunazidi kushauri vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi Tanzania, kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji haki za raia na kukandamiza uhuru wa watu kujieleza. Kwani vitendo hivi vina leta taswira mbaya kwa taifa letu.
KATIBU MKUU
Shura ya Maimamu Tanzania
Leo tar 23.07.2021
0656654546
Ilitakiwa chama kiwakatae mapena wahuni kama hao wanaolazimisha ajenda ya udini kwa mama samia.Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.
Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.
Besides,
Mimi sijasema mbowe ni gaidi,ni polisi wanasema ana tuhuma za ugaidi!!
Waulize wafuasi wenzenu kina yericko uislam wa mama samia unaingiaje hapo? Hawawez kujenga hoja yao bila kuuhusisha uislam?
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.
Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.
Nakuelewa vizuri. Tuombe mmea uendelee kumea kwenye rutba ya aina hiyo hiyo.Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.
Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.