Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mkaandamane mbona hamjaenda ma keyboard warrior............si rais wenu Lisu alishawaambia mchukue hatua au mnataka wamarekani ndo waje kuandamana kwa ajili yenuMarekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Unadhani wanakurupuka?!Mimi nilijua wanakuja kumtoa Magu kumbe ni tamko kama tamko tu...halisaidii chochote wala kubadilisha chochote
hakujawahi kuwa na mapambano kwenye uchaguzi wa marekani. ficha upumbavu wako.Wapambane na uchaguzi wao sasa, watanzania hatutaki shobo
Sema vibaraka wa mabeberu mnaenda kua na maisha magumuTunakwenda kuwa na maisha magumu zaidi TZ kwa tamaa za wajinga wachache.
-Subiri wazuie misaada ndio utaelewa neno "kwa misaada wa watu wa Marekani".Mimi nilijua wanakuja kumtoa Magu kumbe ni tamko kama tamko tu...halisaidii chochote wala kubadilisha chochote
Watisheni maboya wenzenu vikwazo labda kwa mabwana zenu mlioshindwa kutimiza matakwa yaoKama una akiba sasa hivi itineraries. Vikwazo vya uchumi vikianza tutauza mpaka mabanda ya kuku.
Wewe ndio ufiche upumbavu wako, kama hakuna mapambano bc usngesikia kuhusu facebook, Russia na wengineo kupanga matokeo.hakujawahi kuwa na mapambano kwenye uchaguzi wa marekani. ficha upumbavu wako.
Usijali, Magufuli yupoView attachment 1615588
Your words still live Martin Luther King
Watu wenye akili timamu na majukumu hawawez kuandamana kisa tumbo la mwanasiasa, aliyeshinda bc ameshinda kwa haki kilichobaki n kuchapa kazi tuuKilichoniacha mdomo wazi. Watu wanaendelea na shughuli zao kama hakuna kitu. Kwetu amepita diwani wa cdm na wengine wote wa ccm lakini mtaani hali ni shwari kabisaaa.
Kumekucha.
Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Haya matamko hayasaidii kitu tumeyachoka, kilichobaki ni wananchi kuamua wenyewe tuu. Wakiamua kukaa ndani poa, au kwenda mtaani poa tu.
Halafu kesho wanampa misaadaMimi nilijua wanakuja kumtoa Magu kumbe ni tamko kama tamko tu...halisaidii chochote wala kubadilisha chochote