Tukumbushane, hiyo bilioni nane kaichukua wapia na kwa staili gani?Mbowe arudishe bilion nane. Aache kuwatumia wazee kuhalalisha ufisadi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukumbushane, hiyo bilioni nane kaichukua wapia na kwa staili gani?Mbowe arudishe bilion nane. Aache kuwatumia wazee kuhalalisha ufisadi wake
Tukumbushane, hiyo bilioni nane kaichukua wapia na kwa staili gani?
hilo la kutuacha kwa kila kitu sawa maana mimi similiki chama cha siasa.Vijana tafuteni hela msikae kuwalaumu watu ambao wamewaacha kwa kila kitu.
Too cheap to buy my friend, hakuna mbunge hata mmoja aliwahi kukatwa pesa na mbowe. Katiba ya chama chao inabainisha suala la wabunge kuchangia chama. Kama kuna mbunge kakaa na ubunge miaka mitano na hajui katiba ya chama chake,basi huyo hata udiwani hafai. Na hakunapesa iliwahi kukatwa na kuingi akwenya akaunti ya familia. Hizi ni story za kumjenga Mbowe zaidi ya kumbomoa. yatupasa kuja na hoja zenye mashiko ili kumbomoa huyu jamaa. he is very strategic na wengi wetu tumekuwa tukisakama kwa maneno ambayo kwa akili yetu tunafikilia yatammaliza kumbe ndio tunamjenga kisiasa.Kuna pesa alikuwa anawakata wabunge wake na pesa za ruzuku
Zikikuwa zunaingia kwenye account ya familia yake
Too cheap to buy my friend, hakuna mbunge hata mmoja aliwahi kukatwa pesa na mbowe. Katiba ya chama chao inabainisha suala la wabunge kuchangia chama. Kama kuna mbunge kakaa na ubunge miaka mitano na hajui katiba ya chama chake,basi huyo hata udiwani hafai. Na hakunapesa iliwahi kukatwa na kuingi akwenya akaunti ya familia. Hizi ni story za kumjenga Mbowe zaidi ya kumbomoa. yatupasa kuja na hoja zenye mashiko ili kumbomoa huyu jamaa. he is very strategic na wengi wetu tumekuwa tukisakama kwa maneno ambayo kwa akili yetu tunafikilia yatammaliza kumbe ndio tunamjenga kisiasa.
hilo la kutuacha kwa kila kitu sawa maana mimi similiki chama cha siasa.
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.
Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:
Mosi Mbowe ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa barani Afrika ambaye hapokei posho wala malipo yoyote kutoka kwenye chama chake anaitumikia Chadema kwa kujitolea.
Pili, Mbowe ndiye Mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini anayeaminiwa na chama pamoja na wanachama ambao wameamchagua mara zote na amedumu katika uongozi kwa takribani miaka 25.
Tatu, Mbowe ndiye kiongozi pekee nchini aliyeingia katika uongozi akiwa tajiri na serikali kumfanyia figisu hadi anafilisika bila kuogopa wala kukata tamaa tofauti na wenyeviti wa CCM mzee Mwinyi, mzee Mkapa na mzee Kikwete ambao waliingia wakiwa maskini na kuondoka wakiwa matajiri.
Mwisho wazee hao wamemtaka Mwita Waitara kama ni mzalendo na siyo mnafiki anayejipendekeza, aanze kuhoji ufisadi unaofanywa na viongozi wa CCM.
Source: Ayo TV
Maendeleo hayana vyama
Unajua kuna watu wamezoea kuzani Watanzania ni wajinga, na hivyo bado wanaishi nao kwa mazoea! Ni TAKUKURU hukohuko ilipelekwa hadi flash iliyokuwa na sauti za viongozi wa CCM mkoa wa Arusha waliokuwa wakipanga njama za kuwahonga na kuwanunua madiwani wa CHADEMA, lakini hatujawahi kusikia hatua zozote zikichukuliwa! Si hivyo tu, mwaka 2016 Mwenyekit wa CCM aliunda tume ya kuchunguza mali za chama hicho nchi nzima, baada ya uchunguzi tume ile iliyokuwa chini ya Dk Bashiru Ally, iligundua ubadhirifu mkubwa sana wa mali za chama karibu Tanzania nzima, lakini hatujawahisikia TAKUKURU imejitosa kuita watu kuhojiwa! Je hapa tuamini nini? Tunaomba TAKUKURU wabishe hodi kwenye vyama vyote kama kweli wana nia njema!Tunataka TAKUKURU ifanye uchunguzi kwa ccm na viongozi wake,hofu yao ya uchaguzi isiwe kigezo cha kutumia vyombo vya dola kuhujumu vyama vingine. Kama takukuru ina nia ya dhati kusimamia fedha za vyama vya siasa Basi isioneshe upendelea wenye nia hasi, cuf tuliambiwa walitoa fedha kwenye akaunti ya chama na kuweka kwenye akaunti binafsi lkn hatukusikia takukuru wakifuatilia,ccm kumeibuliwa madudu hatukuona wakifuatilia, na hata serikalini pia iweje Leo iwe kwa chadema? Kuna mpango gani?
kwa mfano huu wa Bakhresa, mkuu unamaanisha Chadema ni kampuni ya Mbowe?Hivi kwa mfano bakhresa analipwa mshahara au posho kwenye kampuni zake?
Kapewa aimiliki na baba mkwe wake mteikwa mfano huu wa Bakhresa, mkuu unamaanisha Chadema ni kampuni ya Mbowe?
wale nyumbu wanaijua hii habari?Kapewa aimiliki na baba mkwe wake mtei
Hawajuiwale nyumbu wanaijua hii habari?
Toa ushahidi wa malipo anayolipwa!Ama kweli ukizeeka na akili za kudanganya zinazeeka eti anajitolea miaka 20 bila posho wala malipoo!!!
Uzee mwingine sio dawa ni ujinga