Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Mbona unajiaibisha live bila chenga na kusababisha watu wahoji kiwango cha elimu yako ?
 
Kwa hiyo Azam wakaona hiyo ndio tamthilia bora ya kuweka
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
 
Kuna propaganda za kuoneza chuki na udini kupitia mitandao ya kijamii,ni kikundi Cha watu wa chache tena wamejipanga. Hizi mada za kuuchukia uislam Kuna watu zinawatia ghadhabu hivo kuuchukia kweli Tena watu hasa hasa walio wa target ni watu wa serikali.
 
Wa China wametoa muvi 2010 kuhusu utawala wa kiJapan China huku Wajapan wakiuwawa na kudhalilika , Je vipi na hao wametoa kutokana na wakati ? wapi umesikia Wajapan wakilalamika na kulialia kama wapuuzi wa humu Jf ?
 
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
Wenyewe huwa wanafurahia. Kwao mambo ya ugaidi ugaidi umwagaji damu ni fahari kwao
 
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR

YESU NI MUNGU penda msipende
Jinsi usivyo na akili ndio maana mods wamepita na uzi wako wenye malengo wa malumbano ya kidini leo muda huu ,sijui kwa nini mmekuwa na malalamiko ya kipuuzi sana na kuchochea mijadala hii hapa Jf.

Nitaandaa uzi wa kushamiri uongozi wa Jf uwaandalie jukwaa lenu maalumu la malalamiko maana na Ramadhan inakuja hivyo natarajia kwa siku kukuta nyuzi zaidi ya 5 zenye malalamiko na kashfa na kudhihaki Uislamu.

 
Sure. Binafsi niliacha kuiangalia Ottoman sababu sikua napenda zile fighting scene sio kali kama za baadhi ya series. Japo huwa naiangalia mara mojamoja napokua na muda kufurahisha macho.
 
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT
 
Dah wenyewe wanakuambia Mungu ni mmoja hakuna mwengine wakusujudiwa na kuabudiwa.
View attachment 2533798

Angalia video hapo chini sijui hapo wanamnusa NINI?
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI KUWA NA SITAWAHI.
Uzi huu huu unahusu hayo ? siwezi kufuata njia ya mjinga kamwe na kujiingiza kwenye malumbano yasiyo na msingi.
 
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
Azam aonyeshe waislam magaidi wanauawa labda huyo sio Azam
 
Sijui nite wabongo! Au niite waafrika?
Hivi tuna shida gani vichwani mwetu? Hiyo filamu hujaipenda achana nayo! Othman Ni filam inayoonesha mapambano ya namna ya kusimikwa Dola la Ottoman kulivyoanza na kutokea kupitia Uislam.
Yes waturuki walipigana kwelikweli dhidi ya wasio waislam sio tu wakristo kusimika ukuu wa Dola la Ottoman.
Nb.
Allah akbaru humaanisha "Mungu Ni Mkubwa" Wala usitishike na Hilo but pia Azam huonesha filamu kibao za kifilipino,kichina na kimarekani ambazo kutokana na maudhui yake si kila mtu hupenda.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
I'la wachina wanavyouana kwa mapanga humkatazi kwasababu si waislam? Una shida sehemu boss. Huna logic

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo tamthilia zimewekwa kwa lengo maalumu,kueneza utamaduni wa waarabu na uislamu,
Uturuki sio Waarabu, labda ungeandika kueneza utamaduni wao ungeeleweka.

Uturuki wenyewe maisha yao (life style) hayapishani sana na Ulaya magharibi ndio maana wanatamani kuingia EU.

Tamthilia pia ni burudani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…