Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Kwanini mnang’ang’ania haya maving’amuzi ya
Kipumbavu? Fanyeni kudeal na dstv, mtaepukana na upumbavu mwingi sana
 
Azam na ushoga wanau promote sana kupitia movie zao... Anyways labda imani yao ina sujudu hayo mambo...
 
Hivi huoni aibu huu ujinga ulioniquote Mkuu ? Mimi sina chuki na uislam alafu nadhani sikuwa nazungumza na wewe, mambo yenu ya kidini pelekeni huko

Mtu mzima unanisingizia kwamba ninawasema vibaya waislamu ,nikikupeleka mahakamani utathibitisha hilo ?
Pole sana kama nimekuelewa vibaya.... Usinipeleke mahakamani banah!
 
DINI ni kitu cha Rohoni, yaani ni wewe na Mungu wangu...
Haihitaji mtu mwingine aisemee vizuri imani yako ndo nawe uridhike nayo...
Kama unaumia imani yako ikisemwa ina maana huifahamu vizuri bali unafuata mkumbo tu.
Wewe huna uwezo wa kumpigania Mungu wako aheshimke na kama anataka umpiganie ndo aonekane yupo basi huyo ni dhaifu..
Utapigania DINI na MADHEHEBU ambayo ni mipango ya BIN-ADAM lakini siyo Mungu aliyeiumba hii Dunia..
 
Sasa mtu kama ww usiye jua hata historia ya Ottoman shuleni ulikuwa unaenda kusomea ujinga?
Hujui kuwa hiyo Ottoman ndo iliyo iangusha Roma?
Unadhani kila mtu alienda kusomea HGL kama wewe?yale unayokariri kwenye azam ndio unayaleta humu!
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.

Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.

Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Haya mambo huwa yanajitokeza zaidi tunapokuwa na rais mwislamu
 
ukiona kitu hakikupendezi acha.ulaya wanaigiza Sanaa muvi za ngono na watu hawasemi na zipo chaneli zinaonyesha.kwahio kila mtu anaangalia kitu kinacho mpendeza bas.hakuna kupangiana
 
Nilishapiga kelele Sana kuhusu hizi tamthilia wanazoziita "ZA KIHISTORIA" za kituruki ERTUGRU na SULTAN zote Zina them za kuudhalilisha ukristu hasa Papacy.
Zile episode zote zinazokutanisha na dini ya kikristu zimetwistiwa ili kuonyesha kwamba Mungu wao yupo strong saaana kuliko yule wanayemwabudu wakristu.

Kwa wakristu mazwazwa ndio wanaofurahia ma tamthilia hayo ya kudhalilisha Imani Yao.

Kitu kinachoitwa otoman empire kilitokea lakini sii kwa exaggeration zinazofanywa na waigizaji hao
 
Dini tumeletewa tu ila wabongo tunajifanya tuna iman kuliko waliozileta

Ukimuona mkristo anavobwabwaja kiiman utafkiri paulo au yesu alikua mwafrica

Ukimuona muislamu anavovimba na kanza na kobaz utafkir ni vazi la taifa.

Acheni utumwa ndugu zangu hio movie ni kama movie zingine tu
 
Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
Acha udini na utumwa wa dini mtumba.

Hivi ww hizi dini mtumba zinakusaidia nn?unajifanya una iman kuliko hata waliokuletea dini!! Rudi kwenye asili acheni huu utumwa, unabwabwaja kama vile yesu alikua mpare. Kuku ww
 
Dini tumeletewa tu ila wabongo tunajifanya tuna iman kuliko waliozileta

Ukimuona mkristo anavobwabwaja kiiman utafkiri paulo au yesu alikua mwafrica

Ukimuona muislamu anavovimba na kanza na kobaz utafkir ni vazi la taifa.

Acheni utumwa ndugu zangu hio movie ni kama movie zingine tu
😁🔨🔨🔨🔨
 
Nyakati za vita za vietnam walitengeneza muvi za kikomandoo. Yaani anold sgozniga au rambo mmoja anawatembezea mkong'oto jeshi zima la wavietnam.
Wakatii unajua kama ni uongo, wamarekani walipigwa mpaka wakakimbia Vietnam, tena bila ya kuwa na teknolojia ya kisasa.
 
Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
kama unajitambua usingejiita Kavinsky
 
Hapana hii inaonyesha the fall of Roman empire ,and the Rise of otto empire soma history pepar 2 ,utaelewa mm ni mkristo na ninaipemda sana tamthilia hiyo inaonyesha udhaifu wa utawala wa roma wakati ule
 
Acha udini na utumwa wa dini mtumba.

Hivi ww hizi dini mtumba zinakusaidia nn?unajifanya una iman kuliko hata waliokuletea dini!! Rudi kwenye asili acheni huu utumwa, unabwabwaja kama vile yesu alikua mpare. Kuku ww

kuku baba yako,
wapi nimeonesha udini hapo?
 
Back
Top Bottom