Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Watu wana matatizo ya akili, wamenipa na dini kwamba mimi mkristo🤣Vita ni kali sana
Mpaka sasa ni 1:1 kwa ubao 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana matatizo ya akili, wamenipa na dini kwamba mimi mkristo🤣Vita ni kali sana
Mpaka sasa ni 1:1 kwa ubao 😂😂😂
Wanaupromote kivipi?Azam na ushoga wanau promote sana kupitia movie zao... Anyways labda imani yao ina sujudu hayo mambo...
Pole sana kama nimekuelewa vibaya.... Usinipeleke mahakamani banah!Hivi huoni aibu huu ujinga ulioniquote Mkuu ? Mimi sina chuki na uislam alafu nadhani sikuwa nazungumza na wewe, mambo yenu ya kidini pelekeni huko
Mtu mzima unanisingizia kwamba ninawasema vibaya waislamu ,nikikupeleka mahakamani utathibitisha hilo ?
Angalia movie zote za waarabu na wamarekani ,lazima majambaau wawe waarabu Tena wanaonekana wale watu dini ( waislamu) wakichinja watu Kwa sana ,mbina husikii watu wakilalama.
Unadhani kila mtu alienda kusomea HGL kama wewe?yale unayokariri kwenye azam ndio unayaleta humu!Sasa mtu kama ww usiye jua hata historia ya Ottoman shuleni ulikuwa unaenda kusomea ujinga?
Hujui kuwa hiyo Ottoman ndo iliyo iangusha Roma?
Haya mambo huwa yanajitokeza zaidi tunapokuwa na rais mwislamuTamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Acha udini na utumwa wa dini mtumba.Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
😁🔨🔨🔨🔨Dini tumeletewa tu ila wabongo tunajifanya tuna iman kuliko waliozileta
Ukimuona mkristo anavobwabwaja kiiman utafkiri paulo au yesu alikua mwafrica
Ukimuona muislamu anavovimba na kanza na kobaz utafkir ni vazi la taifa.
Acheni utumwa ndugu zangu hio movie ni kama movie zingine tu
Wakatii unajua kama ni uongo, wamarekani walipigwa mpaka wakakimbia Vietnam, tena bila ya kuwa na teknolojia ya kisasa.Nyakati za vita za vietnam walitengeneza muvi za kikomandoo. Yaani anold sgozniga au rambo mmoja anawatembezea mkong'oto jeshi zima la wavietnam.
kama unajitambua usingejiita KavinskyNi vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
Acha udini na utumwa wa dini mtumba.
Hivi ww hizi dini mtumba zinakusaidia nn?unajifanya una iman kuliko hata waliokuletea dini!! Rudi kwenye asili acheni huu utumwa, unabwabwaja kama vile yesu alikua mpare. Kuku ww