Duuuh wewe kibokoTanesko mnaboa sana,kwanini msitangaze kuwa nchi yetu iko kwenye mgao wa umeme,mnazima na kuwasha hata Mara Tano he hamjui kuwa mnatuharibia vyombo vyetu vinavyotumia Moto wa umeme pia bulb za taa mnatuungizia.kunasiku tutawafurusha mahakamani na tuwatie adabu,maendeleo mnachelewesha sana nyie tanesko.
Watanzania kwa lawama tu hamjamboTanesko mnaboa sana,kwanini msitangaze kuwa nchi yetu iko kwenye mgao wa umeme,mnazima na kuwasha hata Mara Tano he hamjui kuwa mnatuharibia vyombo vyetu vinavyotumia Moto wa umeme pia bulb za taa mnatuungizia.kunasiku tutawafurusha mahakamani na tuwatie adabu,maendeleo mnachelewesha sana nyie tanesko.
TANESCO sio malaika mkuu. Wao pia ni binadamu na wana mapungufu yao mengi tu.Tanesko mnaboa sana,kwanini msitangaze kuwa nchi yetu iko kwenye mgao wa umeme,mnazima na kuwasha hata Mara Tano he hamjui kuwa mnatuharibia vyombo vyetu vinavyotumia Moto wa umeme pia bulb za taa mnatuungizia.kunasiku tutawafurusha mahakamani na tuwatie adabu,maendeleo mnachelewesha sana nyie tanesko.
Sasa ulitaka afanyeje mkuu?Watanzania kwa lawama tu hamjambo
Lawama bila kutoa suggestion huo ni upuuzi tuWatanzania kwa lawama tu hamjambo
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Utafiti umefanyika na unasema kuwa Rais Samia atawashinda mafisadi na wezi wa mali za umma.Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekezaRais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Tanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sanaVyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza
Kwa hiyo ulivyoambiwa hivyo ukaamini kweli...Kuna meneja mmoja wa tanesco nilikua naongea nae akaniambia shirika linaenda kufa...coz cost of production n kubwa kuliko mapato.
Mungu ampe Afya njema na baraka nyingi Rais SamiaTanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana
Samia na JPM walijenga fly over zilizomshinda mkoloniTanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na SamiaSamia na JPM walijenga fly over zilizomshinda mkoloni