Bayege M
Member
- Mar 10, 2021
- 29
- 17
Tanesko mnaboa sana,kwanini msitangaze kuwa nchi yetu iko kwenye mgao wa umeme,mnazima na kuwasha hata Mara Tano he hamjui kuwa mnatuharibia vyombo vyetu vinavyotumia Moto wa umeme pia bulb za taa mnatuungizia.kunasiku tutawafurusha mahakamani na tuwatie adabu,maendeleo mnachelewesha sana nyie tanesko.