TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

Acheni kununua lobo lobo, kwani ukinunua wa miezi mitatu unapungukiwa nini? Tubadilike wajameni!
😂Acha masihara mkuu miezi mitatu ukute mita za kuchangia utamtoza nani laki kwa ajili ya umeme
 
Hili Siyo Jipya January Akiwa Waziri Lilitokea
Leo Doto Mashaka Biteko Vyeo Kama Vyote Naye Ndiyo Hivyo Kinehe Mamii
 
Hili Siyo Jipya January Akiwa Waziri Lilitokea
Leo Doto Mashaka Biteko Vyeo Kama Vyote Naye Ndiyo Hivyo Kinehe Mamii
 
Pole, ndo tuache kusubiri mpaka ufike zero ndo tushtuke kununua. Tia full tank yakipungua nusu unajaza tena full, siku sheli zikigoma we unapeta tu.
Huwa najitahidi kununua mwingi tatizo wenye kutakiwa kunipa taarifa kabla haujaisha wanazembea
 
Kwa style hii eti nchi iendelee!😏
Huu mzigo wa kuiendesha nchi ni mzito sana kwa mama kizimkazi.

Sidhani kama Kuna mtanzania mwenye akili zake timamu atathubutu kumpigia kura tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…