Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hapo ni kama kutoa taarifa ya kuelezea tatizo na si kutoa tangazo la watu kujiandaa in advance kama wafanyavyo kampuni za simu zinapoboresha mifumo Yao ya kifedhaIngawa hii issue imepita ukisema walitoa Tangazo mtu anaweza kudhani kwamba walitoa Tangazo kabla ili mtu ajitayarishe..., LAKINI hapa ni kwamba wametoa Tangazo..., Yaani ni kama mtu unaungua moto alafu ushaungua na kuwa majivu ndio alarm ya moto inakwambia KUNA MOTO...
TANESCO Jirekebisheni... This is not Cool !!!!
😁😁😁😁😃😁😄😄😄😄😀😀😀😀😀😀Umasikini Mbaya Mkuu
Unanunua Unit 3 Halafu Pesa Mtandaoni Usipate Utajuta
nimenunua Upo Sawa
😁😁😁😃😁😄😄😄😄😀😀😀😀😀😀Umasikini Mbaya Mkuu
Unanunua Unit 3 Halafu Pesa Mtandaoni Usipate Utajuta
nimenunua Upo Sawa
Me ni mpita njia tu jamani 😃Which position do you serve hapo TANESCO Songea😊
Uje kule Basi tupige storiesHaya bhana, we tuchore tuu
Nipo bhana, em nenda uone Kuna ujumbe wako nilikutumiaMbona wewe skuoni kule
Tangazo lipitoka kabla.Ishu ni kwamba tangazo lilitoka wakati tayari tatizo limeanza, hata kama tungekuwa aware na hayo mambo still isingesaidia Mkuu.
Chennels mbalimbali kama zipi??Wangeliweka channels mbalimbali si pages zao tu.
Sema hili tatizo la server yao kubuma limekuwa sugu sijui kwanini wasiwe na backup