TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kuna dukuduku ninalo juu ya tanesco but nahitaji mchanganuo kuna kuna mchango ulipita wa kuvuta umeme kutoka Ailanga seminary iliyoko usa river mpaka Ngurdoto kwa mchungaji mmoja hivi na mchango ulikuwa elfu hamsini na kuna watu wakikuja fanya survey but mpaka now ni kama miaka mitatu hakuna dalili yeyote labda mtujuze shida ni nini tanesco
 
Tunaomba namba yako ya simu na iina la mteja husika tulifangie kazi
 
NAOMBA UTARATIBU ..MFANO MIE NIMENUNUA NYUMBA LAKINI BAADA YA MIAKA KADHAA TANESKO WAKAGUNDUA NYAYA ZAO ZILICHUBULIWA KWA MAANA YA KITAMBO KUNA MTUMIAJI AMEWAH KUHUJUMU TANESKO

.SASA CHA KUSHANGAZA NAAMBIWA KULIPIA 480.000 ETI NI GHARAMA ZA UKAGUZI NA KUWEKA WAYA MWINGINE ..KWA HALI ILIVYO NGUMU NILIWAWEKA WAPANGAJI WANGU ZAIDI YA MWEZI BILA UMEME NIKIDHAN TANESKO WATA LEGEZA..KIUKWELI NIMELIPA HIYO PESA ILA IMENIUMA HALI NI NGUMU NA NI UNYANYASAJI USIO NA MFANO..NADHANI SI HAKI TUNAONEWA SANA HUKU MIKOANI
 
Kwa mujibu wa mkataba wa huduma kwa wateja mteja anatakiwa kabla hajahamia au kupangisha au kununua nyumba atoe taarifa TANESCO ili tumuangalizie usalama wa anapoingia vinginevyo anabeba mzigo ulioachwa na aliyeondoka
 
Napenda kuuliza bei ya meter ya umeme ya 3 phase
a5f00975e4738b67f5cfc5b2a4474801.jpg
 
Alafu nyie tanesco.
Shida nini mbona umeme mnakata ovyo ovyo. Jana usiku mzima mmekata mpaka asubuhi ya Leo.
Mida ya saa 4 mmekata tena mpaka saa 12 jioni.
Sasa hivi mmekata tena. Tatizo nini?
KAMA HAMNA MAJIBU FUTENI HUU UZI WENU. HAUNA FAIDA.
 
Mkoa.. wilaya.. eneo... namba ya simu tafadhali
 
Hakuna mgao wa umeme Mteja
Mkuu kama hakuna mgao ni nini kinaendelea maana bagamoyo town tumeshinda siku nzima hamna umeme umerudi jioni aiabu ninavoandika hivi nipo gizani ebu muwe mnatoa basi hata tangazo watu tujiandae mnafanya watu tunaenda na tshart kazini kisa tumeshindwa. Kunyoosha nguo sababu umeme hamna
 
Jamani ivi TANESCO Busega mmejipanga kweli? Naomba makao makuu tusaidieni, hatuoni sababu ya kusubiri ujio wa Rais.
Nimelipia Meter wakanyamaza kimya nimejaribu kufatilia wanasema vifaa havipo.
Sasa nashindwa kuelewa ni vifaa au wanataka kitu kidogo? Maana hata Survey walikuja baada ya kuripoti makao makuu.
Jamani tusaidieni.
Jina la Mteja: George Francis
0752 268 396
Tumeipokea mkuu tunaifatilia
 
Tunaomba kujua Tanesco mna tatizo gani kuna mgao wa umeme ambao ni hatari, kwetu wafanya biashara . Arusha tangu j.3 leo ni j5 umeme unakatwa Hasbuhi ,Unarudi jioni hali mbaya samaki zinaoza .vinyozi wanalia. Afu hakuna taarifa yoyote
 
Back
Top Bottom