Matumizi yako kwa mwezi ni wastani wa unit 227 hivyo hauwezi kuwe kwenye kundi la huyo anayenunua umeme kwa bei tofauti na wewe

Sasa haiwezekan kuturekebeshia mana hapo hamna mwenye kipato istoshe huyo anamtumiz mengi mafrij mawili masaa 24 yanapiga kazi bado bado vifaa vya vingine vya umeme
 
je hizi serial namba kwenye hiki kidude cha ku- recharge umeme ndizo mita namba?
 
Sisi huku Kigoma UMEME hata sekunde haukatiki mwaka wa pili sasa. Kumbe nimegundua bora umeme wa majenerator kuliko huo wa kwenu sijui mnauita GRID ya Taifa.
 
TANESCO naomben msaada please, nimenunua umeme kwa njia ya Mpesa, sipewi token ila Mpesa wameshathibitisha muamala, vipi kulikoni?
 
Habari ya kazi

Tatizo langu ni kuwa umeme unapokatika ukirudi kwa majirani unawahi kurudi mie ndio nakuwa wa mwisho inaweza pita hata dakika ndio unarudi kwangu tatizo ni nini hapo?

Pia imetokea kama Mara mbili Mara ya kwanza umeme ulikatika kwangu tu wakati unit zipo za kutosha nikaingiwa na hofu baada kama ya saa moja ukakata na kwa jirani uliporudi ukarudi kote.

Mara ya pili ulikatika kwangu tu ila kwa majirani ukawepo naomba kujua tatizo na suluhisho
 
Habari! Nina malalamiko! Hapa nilipo hatuna umeme since saa kumi jioni sasa hivi ni saa nne na dk 39 na ni sehemu tu ya eneo, mitaa ya jirani ina umeme! Tumetoa taarifa Tanesco lakini ni kama wamekua wanatudanganya toka saa moja wanasema mafundi wako njiani mpaka sasa!

Its better muwe wazi bwana kama haiwezekani mseme haiwezekani mtu ajue anavyojipanga kuliko kutoa false hopes na kudanganya watu wazima!
 
TANESCO naomben msaada please, nimenunua umeme kwa njia ya Mpesa, sipewi token ila Mpesa wameshathibitisha muamala, vipi kulikoni?
Wa tsh ngapi na namba ya meter
 
Umakawia mufa gani na namba yako ya mita ni ngapi
 
Ni wewe mwenyewe? Eneo gani namba ya simu na namba ya taarifa tafadhali
 
Naomba ufafanue hayo makundi na kiasi.. mfano mtu aweke elfu 5 kwa kila kundi atapata units ngapi?
Tarif 4 matumizi chini ya unit 75 kwa mwezi unit moja ni tsh 100 jumlishai kodi 18% ewaura 1% na umeme vijijini 3%

Kundi la pili unit moja tsh 292 hawa wanazidi unit 75 mpaka 7500 kwa mwezi na hayo makato mengine hapo juu kama kwa tarif 4
 
Jamani tunaomba Tanesco mtupe ratiba ya mgao tujipange. Inawezekana kuna upungufu, siyo ajabu hata kidogo. Tupeni ratiba tujipange.
 
Tanesco,umeme mmerudisha huku kigamboni,lkn unacheza balaa,yan mtatuunguzia vitu,mara uwe mwingi mara mdogo,heri msingerudisha basi
 
Tanesco,umeme mmerudisha huku kigamboni,lkn unacheza balaa,yan mtatuunguzia vitu,mara uwe mwingi mara mdogo,heri msingerudisha basi
Tumepokea taarifa kwa utendaji mpendwa mteja wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…