kiasi 5000 na si 10000mita : 54150797014
kiasi : 10000
tarehe : 17/12/17
muda : 1115am
namba 0687237985
token hapo...leo nasumbuka tu
naombeni mapema nishughurikienikiasi 5000 na si 10000
nitumieni basi hzo tokenNamba ya mita
Tarehe
Kiasi
Tunaomba kupewa mawasiliano ya wahusika yaani watoa huduma wa uku kigambon ili tuwasiliane nao moja kwa moja kama taasisi nyingine zinazowahudumua wateja zinavyofanya tafadhali.Mimi na mwenzangu ni wakazi wa uku kigambon mtaa wa kibugumo kisosola tumelipia nguzo mbili sasa ni exactly siku 72 net hatujui hata kinachoendelea,
Ivi inamaana zile siku 60 (miezi m2) tuloambiwa haikuwa na maana yoyote, kiukweli inahudhunisha sana, na bora hata wangeleta excuse yao may be ingekuwa na maana yani hakuna kinachoendelea wala kujulisha maadam tshalipia then imeishia hapo... Too sad
nasubiri token wakuu .. nimesimamisha shughuri zangumita : 54150797014
kiasi : 5000
tarehe : 17/12/17
muda :1115am
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTANESCO juzi nimetoka kijijini nikaambiwa wanadaiwa shilingi elfu 30+ kwa ajili ya kubadikisha system kwamba itoke kweny watu wanaotumia mashine irudi kawaida, kwa nn wakati mnafunga msiweke moja kwa moja kawaida mkaweka kwenye system ya wanotumia mashine alafu mnataka hela? Au ndo njia ya kupiga pesa. Naomba majibu tafadhali
Tunaomba maelezo kwa kina mpendwa mteja, hata kwa inboxTANESCO juzi nimetoka kijijini nikaambiwa wanadaiwa shilingi elfu 30+ kwa ajili ya kubadikisha system kwamba itoke kweny watu wanaotumia mashine irudi kawaida, kwa nn wakati mnafunga msiweke moja kwa moja kawaida mkaweka kwenye system ya wanotumia mashine alafu mnataka hela? Au ndo njia ya kupiga pesa. Naomba majibu tafadhali
mi naomba token zangu nimeshawatumia taarfa za muamala tafadhari sina umemeMFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Kwa sasa nipo mwanza lakini ilo swala nimeliacha moshi na wazee waliniambia wanatafuta iyo pesa January wakalipe ,,MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA.....................................
2.SIMU....................................
3.MKOA...................................
4.WILAYA................................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"