TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
mita : 54150797014
kiasi : 10000
tarehe : 17/12/17
muda : 1115am
namba 0687237985

token hapo...leo nasumbuka tu
 
mita : 54150797014
kiasi : 5000
tarehe : 17/12/17
muda :1115am
 
kwanini hamfikirii uwepo wa huduma ya kuwafungia wateja wenu wanaohitaji LUKU mpya halafu mkawa mnawakata katika manunuzi ya umeme ili kuwavutia wateja wengi zaidi?
 
Mimi na mwenzangu ni wakazi wa uku kigambon mtaa wa kibugumo kisosola tumelipia nguzo mbili sasa ni exactly siku 72 net hatujui hata kinachoendelea.

Ivi inamaana zile siku 60 (miezi m2) tuloambiwa haikuwa na maana yoyote, kiukweli inahudhunisha sana, na bora hata wangeleta excuse yao may be ingekuwa na maana yani hakuna kinachoendelea wala kujulisha maadam tshalipia then imeishia hapo... Too sad
 
Mimi na mwenzangu ni wakazi wa uku kigambon mtaa wa kibugumo kisosola tumelipia nguzo mbili sasa ni exactly siku 72 net hatujui hata kinachoendelea,
Ivi inamaana zile siku 60 (miezi m2) tuloambiwa haikuwa na maana yoyote, kiukweli inahudhunisha sana, na bora hata wangeleta excuse yao may be ingekuwa na maana yani hakuna kinachoendelea wala kujulisha maadam tshalipia then imeishia hapo... Too sad
Tunaomba kupewa mawasiliano ya wahusika yaani watoa huduma wa uku kigambon ili tuwasiliane nao moja kwa moja kama taasisi nyingine zinazowahudumua wateja zinavyofanya tafadhali.
 
TANESCO juzi nimetoka kijijini nikaambiwa wanadaiwa shilingi elfu 30+ kwa ajili ya kubadikisha system kwamba itoke kweny watu wanaotumia mashine irudi kawaida, kwa nn wakati mnafunga msiweke moja kwa moja kawaida mkaweka kwenye system ya wanotumia mashine alafu mnataka hela?

Au ndo njia ya kupiga pesa. Naomba majibu tafadhali
 
TANESCO juzi nimetoka kijijini nikaambiwa wanadaiwa shilingi elfu 30+ kwa ajili ya kubadikisha system kwamba itoke kweny watu wanaotumia mashine irudi kawaida, kwa nn wakati mnafunga msiweke moja kwa moja kawaida mkaweka kwenye system ya wanotumia mashine alafu mnataka hela? Au ndo njia ya kupiga pesa. Naomba majibu tafadhali
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tunaomba maelezo kwa kina mpendwa mteja, hata kwa inbox
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
mi naomba token zangu nimeshawatumia taarfa za muamala tafadhari sina umeme
 
mi naomba token zangu nimeshawatumia taarfa za muamala tafadhari sina umeme
Ndugu mkuu
Umetuma taarifa nusu tukakuomba zaidi hautoa
Namba ya mita
Namba ya simu
Wa tsh ngapi
Tarehe
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Kwa sasa nipo mwanza lakini ilo swala nimeliacha moshi na wazee waliniambia wanatafuta iyo pesa January wakalipe ,,
 
Back
Top Bottom