Ndugu mkuu
Umetuma taarifa nusu tukakuomba zaidi hautoa
Namba ya mita
Namba ya simu
Wa tsh ngapi
Tarehe
mta : 54150797014
kiasi :5000
tarehe :17/12/17
muda : 1115am
namba :0687237985
 
Hivi kwa nini mnakata umeme, kila siku wilaya ya sikonge? Mnaboa sana
 
Mkoa Wa Mbeya, wilaya ya Mbarali, kijiji cha Rujewa, kitongoji cha Mlimani tuna wiki mbili sasa hivi mtaa huu hauna umeme. Hatuelewi tatizo ni nini na hakuna taarifa yoyote tuliyopewa.
 
Mkoa Wa Mbeya, wilaya ya Mbarali, kijiji cha Rujewa, kitongoji cha Mlimani tuna wiki mbili sasa hivi mtaa huu hauna umeme. Hatuelewi tatizo ni nini na hakuna taarifa yoyote tuliyopewa.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Kwanini mnakata umeme kila siku kimara- kilungure kuanzia saa 5 asubuhi mbaka saa 11 jioni mnaboa sana mbaka jumapili
 
Kiukwel nmechefukwa,yaan huku kwetu goba,yaan kiila,siku jion lazma wakate umeme,..mbona haya mambo ya mgao yalipitwa na wakat?hiv tanesco mpewe nin?yaan umeme utafkir tunaomba?daah
 
Nimetoka Hapo kama dk 15. Ni kelele za generators tu
 
Inabidi ipatikane taasisi nyingine ili mpate changamoto aisee
 
umeme umeshindikana..tuliambiwa tarehe 14/Dec mwisho..yaani ndiyo umezidi kukatika hovyo kwa muda mrefu bila ratiba
 
Kalemani ajitafakari...naona haendani na sipidi ya hapa kazi tuu.

Na asisahau kuwa kutoka wote kanda ya ziwa ndio itakuwa sababu ya kupona kwake...awaulize kitwanga na mtangulizi wake wa hiyo wizara...MIMI HUWA SIJARIBIWAGI.
 
Kiukwel nmechefukwa,yaan huku kwetu goba,yaan kiila,siku jion lazma wakate umeme,..mbona haya mambo ya mgao yalipitwa na wakat?hiv tanesco mpewe nin?yaan umeme utafkir tunaomba?daah
Kwahiyo hata pale LA STANZA hakuna umeme? Daah...sasa sebuleni ndio patakuwaje na hili giza na joto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…