Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Upande wa vodaLUKU ipo vizuri na wateja wetu wanafurahia huduma tafadhali nunua na ufurahie huduma ya umeme
MUAMALA HAUJAFANIKIWA
Samahani, kuna tatizo la kiufundi. Jaribu tena badae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande wa vodaLUKU ipo vizuri na wateja wetu wanafurahia huduma tafadhali nunua na ufurahie huduma ya umeme
5000Unanunua wa tsh ngapi
Acha uongo wewe.hauoni hata aibu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]LUKU ipo vizuri na wateja wetu wanafurahia huduma tafadhali nunua na ufurahie huduma ya umeme
Sawa mpendwa tanesco[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tunafatilia mpendwa mteja
Eneo ganiNyumba yetu ina siku ya 4.. Haina umeme, tumewapgia simu emergency kimara tanesco kila sku wanasema wanakuja lakini wapi, tulikua tuna vyakula kwenye fridge, vyote vimeharbika, hii hasara anayeifaidia nani, hv tukitumia vishoka tutKua tunakosea kweli
Ubungo msewe, maarufu kwa mpepera, namba zangu z simu 0652171224Eneo gani
Namba ya simu
Namba ya taarifa
Tunaomba hizo taarifa tafadhali
Mna maneno mazuri, ila utendaji mbovu, taarifa zangu zipo kimara sku ya 4 na leo tena nmeenda, lakini mpaka mda huu hakuna fundi aliyepita huku, kama mnahisi mna mafundi wachache kwa nn msiajiri watu, huku mtaani watu wengi hawana ajira na wamesomea umeme, siku ya 4 leo nalala na giza, tumewakosea nn jamanTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja
Tutakufikia mpendwa mteja wetuMna maneno mazuri, ila utendaji mbovu, taarifa zangu zipo kimara sku ya 4 na leo tena nmeenda, lakini mpaka mda huu hakuna fundi aliyepita huku, kama mnahisi mna mafundi wachache kwa nn msiajiri watu, huku mtaani watu wengi hawana ajira na wamesomea umeme, siku ya 4 leo nalala na giza, tumewakosea nn jaman
Hay maneno ndo nshayachoka,na leo tena mnatulalisha na giza Mungu anawaona...Tutakufikia mpendwa mteja wetu
Ili abakai hapo alipaswa kununua umeme wa tsh 9150 kwa mwezi yaani unit 7t akizidi hapo anatolewaMkuu ,,tatizo langu ni kuhusu huu umeme WA tarifu 4,,KWA mwezi natumia unit 12,,inamaana KWA hzo 74 unit ninazopata natumia miezi mi4,,swali KWA nini nikinunua au MTU yuko na hiyo tarfu umeme WA zaidi au pungufu ya 9800 anakuwa amefanya kosa na anatolewa KWA hiyo tariif?
Akinunua pungufu je? Maana KWA mwezi anatumia unit 15Ili abakai hapo alipaswa kununua umeme wa tsh 9150 kwa mwezi yaani unit 7t akizidi hapo anatolewa
Na asiponunua kila mwezi je?Akinunua pungufu je? Maana KWA mwezi anatumia unit 15