3847 0811 5771 3787 1992
Umeme wa 5000
Tanesco kuna tatzo gan goba?mbona mnakata umeme kila saa,same hours,..utafkiri umeme mnatupa bure?mbona enz za muhongo kulikua hakuna adha hii,naomba uwafikishie ujumbe wahusika,au laa mkuu awatumbue tuu kama kaz imewashinda.
 
Pole sana kulikuwa na mti umeangukia njia ya kusambaza umeme mkuu
 
Miti inafanya nin kwenye site nyet,kuwen serious,umeme ukikata na maisha yanasimama mjue tanesco,pambanen asee,tunaudhika sana kwakwel
 
Kuna nini kinaendelea Tanesco Njombe , karibia miezi miwili shughuli ni kama zimesimama pale Njombe Tanesco. Kila ukienda unaambiwa mtandao hakuna, hivyo hakuna shughuli ya malipo.

Nashughulikia kuingiziwa Umeme kwangu, kuja tu kufanya survey imechukua mwezi, sasa shughuli kulipa fedha ili nikafungiwe umeme, kila nikienda naambiwa hakuna mtandao, wiki ya pili narudi na fedha zangu , mpaka nataka kuzitumia kwa mambo mengine.

Kuna nini Tanesco Njombe????
 
Jamani mbona Luku hainunuliki arusha watu kazi zimekwama naomba ambae yuko sehemu umeme unanunulika aninunulie hata wa elf 5 namtumia kwenye m pesa no ya mita 22110261561
 
Hata huku dar haununuliki na hakuna taarifa zozote nimeamua kufunga ofisi leo
 
Mitambo ipo safi sana nunu umeme bila shaka utapata
 
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja na upo njombe sehemu gani tufatilie swala lako
 
Hata huku dar haununuliki na hakuna taarifa zozote nimeamua kufunga ofisi leo
LUKU ipo vizuri na wateja wetu wanafurahia huduma tafadhali nunua na ufurahie huduma ya umeme
 
Muamala umesitishwa. Pesa zako zimerudishwa kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa Muamala wako umesitishwa, tafadhali jaribu tena baadae. Txn Id: 38679964614.TxnID: 38679964614
 
Unanunua wa tsh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…