zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tunaomba namba ya taarifa na namba yakonya simu mkuuMkuu nimejaribu kama mlivyoniambia nicheki main switch,,mainswitch uko sawa ila umeme haufiki hapo kwenye main,mkuuu
TANESCO tumeripoti shoti kwenye waya za umeme toka juzi usiku hapa njiapanda ya Neluka, mtoni kijichi wala hakuna anayejali tuko gizani siku ya tatu ila kila tukipiga mnaanza sound ilihali wengine tunategemea umeme kuingiza kipato
Mnakera sana.... Jirekebisheni
Huo òoo umerudiKigamboni wamekata leo saa mbili. Yani hii taasis inayoongoza kwa kutukanwa tz
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTanesco kudadeki zenu babake mnatukatia umeme siku za muhimu
El classico mkabana,krismasi usiku mnatukatia, halafu mnarudisha sAA sita usiku na kuukata SAA mbili asubuh dadeki!!!!/! Mmeambiwa cc ni wachawi tuko macho ucku???????!!!!!!!!!!
Na kesho cjui mtakata bAbake!!!!!!!!
KAteni hata mwezi hatujazaliwa na mataa cye
Nyambaf!!!!!!!!
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOTanesco mnataka kutuunguzia vifaa vyetu vya umeme huku Kigamboni. Leo umeme umeshakatika na kurejea karibu mara tano ndani ya masaa 4.
Hii kata rudisha imekuwa game of the week sasa.
Makubaliano yapi? Ama kwa kuwa sisi tumeshikilia makali na nyie mmeshikilia mpini. hakuna aliyekataa kulipa deni ila mechanism ya kukusanya madeni mliyokuja nayo wakati huu si rafiki hata kidogo.Ndugu mteja,
Deni lako kama ni kubwa sana, tukisema ulipe nusu kila unapofanya manunuzi litachukua muda mwingi sana kuisha. Hivyo basi ikipangwa kiasi maalum inatokana na deni lako ukubwa wake.
Dhumuni la shirika ni kuhakikisha wateja wote wenye madeni wanalipa madeni yao kwa wakati, hivyo ni muhimu sana kumaliza deni lako..
Tukumbuke kauli hii "dawa ya deni kulipa" hivyo basi tunaomba wateja wetu walipe madeni yao ili na shirika liweze kutimiza matakwa ya serikali katika kuboresha ichumi wa viwanda.
Tunatarajia ndugu mteja utalipia kadri ya makubaliano
Nashukuru kwa kunipa matumaini. Hivi mpaka mita isajiliwe tangu ilipofungwa inachukua mda gani?Tumeipokea mkuu tunaifanyia kazi
Tafadhali fika ofisini kwa mazungumzo zaidi kwani wateja wetu tumeluwamtukiwaomba kutolimbikiza madeniMakubaliano yapi? Ama kwa kuwa sisi tumeshikilia makali na nyie mmeshikilia mpini. hakuna aliyekataa kulipa deni ila mechanism ya kukusanya madeni mliyokuja nayo wakati huu si rafiki hata kidogo. Kwa mashirika ya Umma tusingetegemea kitu kama hiho hususani kwenye huduma ya muhimu kama umeme. Mnataka tulale giza? na you still preaching Tanzania ya Viwanda? Atleast mngeconsider hali za watu kabla ya kutenga hivyo viwango. Binafsi hii amount mliyonipangia siiwezi, kindly advice nini nifanye ili hii amount niliyopangiwa iweze kushushwa.
Natanguliza Shukrani