TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO tumeripoti shoti kwenye waya za umeme toka juzi usiku hapa njiapanda ya Neluka, mtoni kijichi wala hakuna anayejali tuko gizani siku ya tatu ila kila tukipiga mnaanza sound ilihali wengine tunategemea umeme kuingiza kipato

Mnakera sana.... Jirekebisheni
 
Mkuu nimejaribu kama mlivyoniambia nicheki main switch,,mainswitch uko sawa ila umeme haufiki hapo kwenye main,mkuuu
Tunaomba namba ya taarifa na namba yakonya simu mkuu
TANESCO tumeripoti shoti kwenye waya za umeme toka juzi usiku hapa njiapanda ya Neluka, mtoni kijichi wala hakuna anayejali tuko gizani siku ya tatu ila kila tukipiga mnaanza sound ilihali wengine tunategemea umeme kuingiza kipato

Mnakera sana.... Jirekebisheni
 
[quote uid=234647 name="TANESCO" post=25076171]Tumepokea taarifa mpendwa mteja[/QUOTE]<br /><br />[quote uid=46317 name="Chuck j" post=25075974]Isaya masawa,,0713433221,,DSM,ubungo,,golani kijiweni,,tranfoma,,,mama maria,,54201495204,,mita inapokea unit but hazitumiki[/QUOTE]<br />Ni hiyo
 
Kigamboni wamekata leo saa mbili. Yani hii taasis inayoongoza kwa kutukanwa tz
 
Tanesco mnataka kutuunguzia vifaa vyetu vya umeme huku Kigamboni. Leo umeme umeshakatika na kurejea karibu mara tano ndani ya masaa 4.

Hii kata rudisha imekuwa game of the week sasa.
 
Tanesco kudadeki zenu babake mnatukatia umeme siku za muhimu
El classico mkabana,krismasi usiku mnatukatia, halafu mnarudisha sAA sita usiku na kuukata SAA mbili asubuh dadeki!!!!/! Mmeambiwa cc ni wachawi tuko macho ucku???????!!!!!!!!!!
Na kesho cjui mtakata bAbake!!!!!!!!

KAteni hata mwezi hatujazaliwa na mataa cye

Nyambaf!!!!!!!!
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tanesco mnataka kutuunguzia vifaa vyetu vya umeme huku Kigamboni. Leo umeme umeshakatika na kurejea karibu mara tano ndani ya masaa 4.

Hii kata rudisha imekuwa game of the week sasa.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................


"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Mlinisaidia sana nikapata mita mpya isiyo na usumbufu, nawaomba tena mnisaidie isajiliwe kwani nipo gizani. Nimeshatuma details zote kwenu
 
Tanesco mnazingua mnataka niendelee kukaa Giza nashindwa kununua umeme mita imebadilishwa tarrif
22132183728
Jina zubeda kunamba
Mkoa Lindi
Wilaya ruangwa
0756596784

Nikijaribu kununua kwa simu inaniambia mita imefungiwa toka Jana sina umeme
 
Ndugu mteja,
Deni lako kama ni kubwa sana, tukisema ulipe nusu kila unapofanya manunuzi litachukua muda mwingi sana kuisha. Hivyo basi ikipangwa kiasi maalum inatokana na deni lako ukubwa wake.

Dhumuni la shirika ni kuhakikisha wateja wote wenye madeni wanalipa madeni yao kwa wakati, hivyo ni muhimu sana kumaliza deni lako..

Tukumbuke kauli hii "dawa ya deni kulipa" hivyo basi tunaomba wateja wetu walipe madeni yao ili na shirika liweze kutimiza matakwa ya serikali katika kuboresha ichumi wa viwanda.

Tunatarajia ndugu mteja utalipia kadri ya makubaliano
Makubaliano yapi? Ama kwa kuwa sisi tumeshikilia makali na nyie mmeshikilia mpini. hakuna aliyekataa kulipa deni ila mechanism ya kukusanya madeni mliyokuja nayo wakati huu si rafiki hata kidogo.

Kwa mashirika ya Umma tusingetegemea kitu kama hiho hususani kwenye huduma ya muhimu kama umeme. Mnataka tulale giza? na you still preaching Tanzania ya Viwanda? Atleast mngeconsider hali za watu kabla ya kutenga hivyo viwango. Binafsi hii amount mliyonipangia siiwezi, kindly advice nini nifanye ili hii amount niliyopangiwa iweze kushushwa.

Natanguliza Shukrani
 
Makubaliano yapi? Ama kwa kuwa sisi tumeshikilia makali na nyie mmeshikilia mpini. hakuna aliyekataa kulipa deni ila mechanism ya kukusanya madeni mliyokuja nayo wakati huu si rafiki hata kidogo. Kwa mashirika ya Umma tusingetegemea kitu kama hiho hususani kwenye huduma ya muhimu kama umeme. Mnataka tulale giza? na you still preaching Tanzania ya Viwanda? Atleast mngeconsider hali za watu kabla ya kutenga hivyo viwango. Binafsi hii amount mliyonipangia siiwezi, kindly advice nini nifanye ili hii amount niliyopangiwa iweze kushushwa.

Natanguliza Shukrani
Tafadhali fika ofisini kwa mazungumzo zaidi kwani wateja wetu tumeluwamtukiwaomba kutolimbikiza madeni
 
Oy mbona mnakata umeme huku kahama bila mpangilio maalum tatizo nn, au mnashida gan zisizoeleweka
 
Happy New Year Tanesco, nasubiri kwa matumaini ombi langu ili nami nipate mwanga niachane na giza. Details zangu zote zipo
 
Naomba kudaisiwa jaman tumeweka luku tangu tulipo unganisha tumenunua luku Mara moja tu! Ni mwaka Jana mwez wa kumi!

Nyumba iatumia taa tu
 
Naomba Ufafanuzi Kutoka Kwenu Tanesco
Mtu Aliyefungiwa Umeme December 27, 2016 Hadi December 27 , 2017 Ametumia Units 205 Kwa Matumizi Yake.

Je Anawekwa Kwenye Kundi Lipi La Watumiaji Umeme ? Yaani Anapaswa Kuja Mfano Ofisini Kwenu Ama Moja Kwa Moja Ninyi Tanesco Mnamweka Kwenye Kundi La Watumiaji Hao Wadogo
 
Back
Top Bottom