Tunaomba namba yako ya simu mkuu
Nashukuru Ndugu; Jamni huku JF watu hatupendi kuweka namba za simu; nyie tatue tatizo namba za simu za nini tena kwenye mitandao?

kujengea visa tu na watu; fuatileni kama kuna taarifa zinahitajika tofauti na taarifa zangu binafsi nitatoa; huku tumeripoti hadi tumechoka; tumesaini daftari hadi tumechoka ndiyo maana sina tena hata hamasa ya kwenda tena Tanesco Moshi.
 
Tunaomba namba yako ya simu mkuu
Ndugu mpendwa mteja

upo mradi wa voltage improvement UNAENDELEA wenye CWO no:T058690, kwa sasa transformer imewekwa Tayari na nguzo za LT zimeshasimama ,tunatarajia mradi utakapo kamilika tatizo litatatuliwa.
 
Wakuu rejea Na Shukuru nilikuwa na tatizo ya mita ya luku, militia malalamiko yangu ijumaa, ijumaa hiyo hiyo wakanipigia Simu, jpili wakaja na mita mpya wakabadilisha, asanteni na unit zangu nilizozinunulia mita ya zamani nilizipata.

Kazi njema it WA TANESCO KWA kuapdate matatizo na kero zetu
 
Tunashukuru sana sana mpendwa mteja wetu kwa mrejesho
 
Nina tatizo la Mita ya Luku inagoma keypads za upande wa kulia yaani namba 3,6,9

Nimereport Ijumaa,
Mafundi wakaja Jumapili ila wamesema inasababishwa na Umeme ukiwa mdogo,

Hapo kabla tatizo hili halikuwepo na pia majirani hawana tatizo hili pia,
Naomba kubadilishiwa luku kwa kuwa hadi sasa nashindwa kuingiza Umeme
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Jina: Khalid Athumani
Simu :0713830235
Mkoa😀ar Es salaam
Wilaya : Ubungo
Eneo: Goba
Jinsi ya kufika : Goba center njia inayoelekea Makongo inapoanzia lami
Alama: Kuna Tank la Maji
Tatizo : keypads za Luku ( 3,6,9&#)
Hazifanyi kazi tunashindwa kuingiza Umeme, tunaomba kubadikishiwa luku
Meter number : 24210588356
Taarifa namba : 3637
 
Tumeipokea kwa hatua zaidi mkuu
 
Ndugu mpendwa mteja

upo mradi wa voltage improvement UNAENDELEA wenye CWO no:T058690, kwa sasa transformer imewekwa Tayari na nguzo za LT zimeshasimama ,tunatarajia mradi utakapo kamilika tatizo litatatuliwa.
Nashukuru; lakini nguzo hizo zimewekwa na zinamaliza mwaka sasa; mradi umekaa kimya wala hakuna linalofanyika wanaongeza kuvutia wateja wapya hivyo tatizo la umeme kupungua ndo linakuwa kubwa kila siku; dah! tusaidieni jamani; asante.
 
Kazi inaendelea mkuu na hii inahitaji utaalamu mkuu
 
tanesco
 
Shukran,
Wamewasiliana nami asubuhi hii pia,
Na wamesema wanalifanyia kazi,
Nitashukuru wakibadilisha hiyo luku ili niondokane na hiyo adha ya kushindwa kuingiza Umeme
Natoa shukran zangu za dhati,
Mafundi wamekuja,
Wamenibadilishia luku,
Na tatizo limeshatatuliwa,
Ahsanteni sana tanesco kwa mwitikio wa haraka,
Niwatakie kazi njema
 
Natoa shukran zangu za dhati,
Mafundi wamekuja,
Wamenibadilishia luku,
Na tatizo limeshatatuliwa,
Ahsanteni sana tanesco kwa mwitikio wa haraka,
Niwatakie kazi njema
Karibu sana mpendwa mteja wetu
 
Tanesco,naomba kuuliza kigamboni kuna shida gani??mana hatuna umeme toka saa moja asbh
 
Bagamoyo umekatika vibaya sana sijui kama haujauunguza vitu.
 
Tanesco,naomba kuuliza kigamboni kuna shida gani??mana hatuna umeme toka saa moja asbh
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Bagamoyo umekatika vibaya sana sijui kama haujauunguza vitu.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tanesco acheni zarau basi, Temeke nzima hakuna umeme shida nini?? Mbona mpo kimya hamtangazi??
WILAYA MZIMA YA TEMEKE HAKUNA UMEME, SIJUI PANDE ZINGINE, NAOMBA KUJUA KUNA SHIDA GANI, SIWEZI KULALA GIZANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…