**** hitilafu kidogo tunaifanyia kazi mpendwa mtejaTanesco acheni zarau basi, Temeke nzima hakuna umeme shida nini?? Mbona mpo kimya hamtangazi??
WILAYA MZIMA YA TEMEKE HAKUNA UMEME, SIJUI PANDE ZINGINE, NAOMBA KUJUA KUNA SHIDA GANI, SIWEZI KULALA GIZANI
Hapo sawa, ila sio mpaka mkumbushwe**** hitilafu kidogo tunaifanyia kazi mpendwa mteja
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini mmekata umeme muda huu ebu tuelezeni tungekuwa ulaya tayari kuna kesi .uncle magu tafadhali na hii nayo ni jipu tumbua baba afu ukimalia tuibinafsishe kabisa
You are right, electricity has been restored back this evening as you can see from the number you gave me.Umeme wako 7104 5909 8937 0434 5507
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOKero yangu ni hizi namba zenu za Emergency hawa watu ukipiga hii simu yao inakua busy muda wote na hata kama haikua busy bac ukipiga haipokelewi!! sasa hii emergency gani? e.g mimi naishi Tabata kimanga kuna siku umeme ulikatika kwetu baadhi ya nyumba unawaka!! nimepiga simu Tanesco Emergency Tabata simu ipo busy muda wote!! nimepiga ILala wameniambia niwapigie watu wa Tabata, nimejaribu kupiga tena ikaita mara kibao haipokelewi, nimepiga tena naambiwa ipo busy!! naomba ufafanuzi juu ya hili hawa watu hizi simu huwa wanazitumia kwa kazi au kwa inshu binafsi?!
Tumepokea kwa ukafatiliaji mkjuHello naitwa Justinian Barongo nauliza kuunganishishiwa umeme wa REA inachukua muda gani kufanya survey mpaka kuunganisha
Maana Nina nyumba ambayo tayari imefanyiwa mchoro mpaka kufunga wiring kwa kuzingatia vigezo stahiki na fomu niliwaachia Tanesco Bukoba toka Nov 21 2017,ila mpaka Leo sijapata majibu ya surveyor nikiuliza naambiwa mradi wa umeme REA Bukoba vijijini umesimama kwa sasa.
Rai yangu,nilijiongeza kwa kukamilisha kila hitaji Tanesco wanalotaka na naomba kuungnanishiwa umeme maana naamini ni haki yangu ya msingi
Eneo: Bukoba vijijini
Namba ya simu: 0784670549
Karibu : kituo cha bus kinaitwa stop
Jinsi ya kufika: unatoka bkb mjini-kyetema-katerero-kanazi- Ibwera- Kafunjo unakata kushoto-Nyakigando- mishenye kijiji
Mkoa: Kagera
Wilaya: Bukoba Vijijini
Kata: Butelankuzi ukiwa barabarani u naona ziwa Ikimba
Kijiji: Mishenye
Jirani: Dionise,shamba liko barabarani
Thanks
Thank uTumepokea kwa ukafatiliaji mkju
tumetoka kuwapigia sasa hivi wanadai hawana taarifa yoyote! Hivi mnataka kusubiria mpaka madhara makubwa zaidi yatokee ndio mchukue hatua??Habari.
Kwetu kuna shoti tangu jana usiku. Tumepiga emergency magomeni tangu 2 asubuhi lakini mpaka sasa hawajaja pamoja na kuwapigia simu mara mbili tena huku waya zenu zinatoa cheche mfululizo!
tumetoka kuwapigia sasa hivi wanadai hawana taarifa yoyote! Hivi mnataka kusubiria mpaka madhara makubwa zaidi yatokee ndio mchukue hatua??
Mna huduma za kipuuzi kabisa nyinyi!
tumetoka kuwapigia sasa hivi wanadai hawana taarifa yoyote! Hivi mnataka kusubiria mpaka madhara makubwa zaidi yatokee ndio mchukue hatua??
Mna huduma za kipuuzi kabisa nyinyi!