Hello naitwa Justinian Barongo nauliza kuunganishishiwa umeme wa REA inachukua muda gani kufanya survey mpaka kuunganisha
Maana Nina nyumba ambayo tayari imefanyiwa mchoro mpaka kufunga wiring kwa kuzingatia vigezo stahiki na fomu niliwaachia Tanesco Bukoba toka Nov 21 2017,ila mpaka Leo sijapata majibu ya surveyor nikiuliza naambiwa mradi wa umeme REA Bukoba vijijini umesimama kwa sasa.
Rai yangu,nilijiongeza kwa kukamilisha kila hitaji Tanesco wanalotaka na naomba kuungnanishiwa umeme maana naamini ni haki yangu ya msingi
Eneo: Bukoba vijijini
Namba ya simu: 0784670549
Karibu : kituo cha bus kinaitwa stop
Jinsi ya kufika: unatoka bkb mjini-kyetema-katerero-kanazi- Ibwera- Kafunjo unakata kushoto-Nyakigando- mishenye kijiji
Mkoa: Kagera
Wilaya: Bukoba Vijijini
Kata: Butelankuzi ukiwa barabarani u naona ziwa Ikimba
Kijiji: Mishenye
Jirani: Dionise,shamba liko barabarani
Thanks