Je tatizo hilo bado lipo. Ili tukuelekeze jinsi ya kufanya ikitokea au kama bado tatizo lipo..pole sana kwa usumbufu huo ndugu mteja
 
TANElip post: 21072135 said:
Je tatizo hilo bado lipo. Ili tukuelekeze jinsi ya kufanya ikitokea au kama bado tatizo lipo..pole sana kwa usumbufu huo ndugu mteja
Tatizo bado lipo na mpaka hii Leo umeme sina Nina siku pili nalala kiza Jana napiga simu na juzi kila nikiwapigia simu haipokelewi
 
Tatizo bado lipo na mpaka hii Leo umeme sina Nina siku pili nalala kiza Jana napiga simu na juzi kila nikiwapigia simu haipokelewi
Tunaweza kupata namba yako ya simu
 
P
 
Naeza nkatoa frustrations zangu kuhusu nyie mpaka asubuhi but it wont help, in short ni kwamba line yetu haina umeme since jumapili, hizo namba tumepiga kila siku wanasema wanakuja lakini hawaji, tunalala na giza, alafu mnasema tunayaangaza maisha yako.
 
Mshaurini Mkurugenzi mtendaji wenu awe mwepesi na ushirikiano na vyombo vya habari kama alivyokuwa Mramba. Asiwe mwoga kiasi hicho
 
Tunaweza kujua tatizo lipo wapi
 
Habari wanajukwaa,poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.Ninayo masikitiko makubwa kwani leo nisiku ya nne mtaa wa Majanimapana hakuna umeme vitu vimeharibika ndani kwenye majokofu na tangu juzi wanasema kesho,je nikesho gani isiyofika?Kwaufupi meneja kazi imemshinda aseme asaidiwe na wanaowaonea wananchi huruma.

Pia tumelalamika warekebishe mita zao luku zinasumbua ila hawaguswi na matatizo yet

Ombi langu kwa serikali nikwamba wawaangalie hawa jamaa wanafanyakazi kwa mazoea
 
Huku mtaa wa Majanimapana Tanga hakuna umeme siku ya nne leo na TANESCO hawatujali hatakidogo tumepata hasara ya vitu ila hatujaona juhudi zozote angalau hata kupitatu na gari lao la matangazotu
Jamani waheshimuni wateja
 
TANESCO Tanga mbona mnatesa wateja wenu mtaa wa Majanimapana leo no siku ya NNE?
 
Eneo haswa...... namba ya simu......
 
Hapa kwangu (eneo la kazi) magomeni mtaa wa ndugumbi karibu na msikitini jirani na kituo cha Tanesco magomeni umeme umekatika ghafla dukani tu huku nyumba ilipo duka hili umeme ukiwaka kama kawaida na maeneo mengine tangu saa 11 mpk leo hii umeme sina, nimekuja kutoa taarifa na kupewa kimemo kuwa watafika kutatua tatizo ila sijaona gari wala tairi la gari ya Tanesco kuja kufanya marekebisho hayo!

Nitumie njia gani labda ili niwe na umeme kama awali ili niendelee na biashara zangu?
 
Tunaomba namba ya taarifa uliyopewa ipo kwenye hicho kikaratasi ulichopewa imaeanza na Tb... Kst 052017-.......
 
Mi nauliza watumiaji chini, yani matumizi chini ya unit 75, ASA kincho angaliwa ni matumizi au manunuzi? Yani ukinunua Umeme unit 150 kwa pamoja na ukatumia miezi 2 je hilo ni kosa?
 
ongezeni wafanyakazi wa emergency duuu imagine unapiga simu emergency wanakuja baada ya siku tatu na wanakiri wako wachache na kazi ni nyingi mnatushawishi tuwatafute vishoka which is not good
 
ongezeni wafanyakazi wa emergency duuu imagine unapiga simu emergency wanakuja baada ya siku tatu na wanakiri wako wachache na kazi ni nyingi mnatushawishi tuwatafute vishoka which is not good
Asante kwa ushauri tumepokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…