[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleni sana jamaniHakuna taarifa yoyote ya TANESCO...na umeme umekatwa tokea asubuhi mpaka ucku huu...maeoneo yoote ya Sinza Kijiweni/Lion
Sinza kuna bar tu hakuna viwandaHakuna taarifa yoyote ya TANESCO...na umeme umekatwa tokea asubuhi mpaka ucku huu...maeoneo yoote ya Sinza Kijiweni/Lion
Upo eneo eneo gani na wilaya yako? Mijini wote wanafungiwa umeme kwenye tarif 1 na vijijini tarif 4Habari zenu Tanesco,nimefungiwa mita nyumbani mwezi wa kumi na moja mwaka jana,katika zile unit 50 za mkopo nimeenda jana kulipa lakini nashangaa wameniweka tarriff 1 badala ya tariiff 4,inakuwaje hapo nikitaka kuhama tarriff
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOUpo eneo eneo gani na wilaya yako? Mijini wote wanafungiwa umeme kwenye tarif 1 na vijijini tarif 4
Asante kwa ufafanuzi wa masuala kadhaa. Mojawapo ya vitu ambavyo watu wa benki mbalimbali wanahitaji kama utambulisho wa makazi unapotaka kufungua akaunti ni bili ya malipo ya umeme.MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
Zingatia
-kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Mita za LUKU hazina bili bali risit ukinunua kwenye vituo utapatiwa kama una mita ya zamani utapatiwa anka au bili yakoAsante kwa ufafanuzi wa masuala kadhaa. Mojawapo ya vitu ambavyo watu wa benki mbalimbali wanahitaji kama utambulisho wa makazi unapotaka kufungua akaunti ni bili ya malipo ya umeme. Naomba kujua kama bado mnazitoa na ninawezaje kuipata. Asante kwa ushirikiano!