Tafadhali hakikisheni mnapata magari makubwa yakazi maana huku kwetu tmk yombo tanesco walikuwa wanashida sana ya magari mpk kifikia mafundi sometime kutembea kwa miguu mpk wananchi tunawaonea huruma tunawakodia bajaji, mara wakaletewa gari ya green lkn ni kadogo kwa ajili ya meneja tuu hakafai kitu mara tena likaja lingine jeupe nalo ni dogo halifai kitu.
Hebu kuweni serious mnajua shirika ni la kazi mnaleta vigari vidogo seriously?
Waambieni viongozi wenu wawe serious hayo magari mabovu muyauze mnunue pamba mpya, igeni hata kenya.