TANESCO NAOMBA KUFAHAMU KAMA MGAO WILAYA YA KONGWA ENEO LA MKOKA UTAISHA LINI
 
Tumeipokea kwa hatua zaidi

Wakuu hizo hatua zaidi Bado tu mnazifanya tangu Tarehe 14 Jan? Namba yangu ya report ni 3857 hamjanipa feedback Au ndio yaleyale kuwa nguzo bado hamjanunua?
 
Zimeni umeme wenu wa mateso huku kinyerezi mnatusumbua tangu asubui umeme upo hafifu tunaripoti mnambwela mbela
 
Tanesco.geita tunaomba.kama mnakata umeme taarifa ni muhimu pia kama kuna mgao tujue.ili tujipange maana bila kutupa taarifa ni hatari kwa vifaa vyetu na nyumba zetu
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mkuu
 
Upo eneo eneo gani na wilaya yako? Mijini wote wanafungiwa umeme kwenye tarif 1 na vijijini tarif 4
Nipo wilaya ya Ilala,lakini matumizi yangu sio makubwa,huwa ninawasha tu usiku
 
Tanesco siku hizi mambo magumu sna transifoma imeungua huku kwetu mwezi sasa tupo gizani ndio mfumo huu mpya wa uendeshaji ama inakuwaje??
 
Tanesco siku hizi mambo magumu sna transifoma imeungua huku kwetu mwezi sasa tupo gizani ndio mfumo huu mpya wa uendeshaji ama inakuwaje??
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Makabe Dubai tunaomba mtuletee Transfoma. Umeme unakatika katika sana kuanzia SAA moja usiku hadi SAA 4 usiku kila siku
 
Meneja wa Tanesco bagamoyo kuna haja yakutimuliwa, kila siku ni must wakate umeme, wanatutia hasara sisi wenye viwanda vidogo
 
IVI huku bagamoyo mapinga hadi kerege n.a. kuendelea, kwann kila siku wanakata umeme, waziri husika ili tatizo alijui au, huyu meneja wa bagamoyo ni mzembe na hafai kabisa,, hakuna siku ambayo hawakati umeme,,yaani ni hasara kwa sisi wenye vijiwanda na bar, ishakuwa kero ya muda mrefu sana sana TANESCO hapa saizi naambiwa washakata tayari
 
IVI huku bagamoyo mapinga hadi kerege n.a. kuendelea, kwann kila siku wanakata umeme, waziri husika ili tatizo alijui au
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Huu ni mfumo wa kutafutana nani mchawi mana tayal yalikwisha kutokea kwa jirani katoa taarifa baada ya hapo akawa haish kufuatwa na viongozi mala umeluka hatua ungeanzia hapa mala vile..maana ya jamii forams kuweka id fake ulisha wahi kuwaulizzao??na jamii forams wamekuluhusu watu kuweka majina yao na namba za sim zao kwenye hiyo form??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Lalamiko la eneo husika linaweza kutumwa hata pm
 
Mkuu jina langu na namba ya simu ya nini, umeme washakata tayari maeneo ya mapinga na kuendelea, sio kwamba wamekata umeme kwangu mimi, ni mji wote na ni desturi ya kila siku... me nna kaji-BAR pale barabarani na sehemu ya matofari, , ni kero kubwa, MENEJA wa Tanesco bagamoyo anamuangusha Rais katika sera yake ya Viwanda,
 
Na mimi nashangaa, mtu anakuambia mfano msasani nzima hakuna umeme,, yeye anamuambia eti aweke namba ya simu, namba ya nn sasa kama sio mwanzo wakutekana
 
Lalamiko la eneo husika linaweza kutumwa hata pm

Aisee we kijana umeshindwa kazi, yaani suala la eneo fulani kutokuwa na umeme hadi mtu akuambie PM Au number yake ya simu au mkuu umetumwa kwa kazi maalum ? Km kesi ya umeme hamna kwenye nyumba moja tu kweli mtu anaweza akataja jina na number yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…