Habari wadau!

Aisee mi ni mpangaji naishi kwenye nyumba na wapangaji wengine. Kuna conflict zinatokea kila ikifika wakati wa kuchanga kulipia umeme. Sasa nataka nifunge luku ya chumba changu Kwahio nilikua naomba kama kuna mdau anafahamu gharama za kufunga luku kwenye chumba chako.
 
Kwa maana nyingine TANESCO kwa makusudi, hawataki kutekeleza maagizo yanSerikali wakati uwezekano wa kutekeleza upo. Mheshimiwa Waziri Kalemani unaliona hili. Jinsi TANESCO wanavyokupuuza, kwa kupuuza maagizo yako ?
Nini tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Tujiandae kisaikolojia kwa Makato ya Ada za kila Muamala kwa sisi tuliozoea kununua umeme wa Buku Buku na Pia kwa wao kuhimili Idadi kubwa ya Miamala na kurejesha Tokens kwa wakati.
 
Tujiandae kisaikolojia kwa Makato ya Ada za kila Muamala kwa sisi tuliozoea kununua umeme wa Buku Buku na Pia kwa wao kuhimili Idadi kubwa ya Miamala na kurejesha Tokens kwa wakati.

Broo wewe ni mtabiri? Haijaanza wewe umeshaona makato
 
Tanesco Mungu anawaona Mbezi ...Makabe, Kibanda cha Mkaa, Mbezi mwisho, Msuguri, Temboni, Saranga, Malamba Mawili nk. Au mnaona sifa sana kutukatia umeme sikukuu hii ya Pasaka [emoji56]
 
Tanesco Mungu anawaona Mbezi ...Makabe, Kibanda cha Mkaa, Mbezi mwisho, Msuguri, Temboni, Saranga, Malamba Mawili nk. Au mnaona sifa sana kutukatia umeme sikukuu hii ya Pasaka [emoji56]
Na kibamba yote iko gizani zaidi ya masaa 3
 
Tanesco kenge mwitu kabisa. Kesho mje na story sijui nguzo zimeanguka. Mbwa kabisa. Hamuwezi kutuweka gizani kuanzia ubungo mpaka mbezi ya kimara. Mmefeli sana
 
TANESCO, sijajua ni upande wenu au benki husika. Nimejaribu kununua umeme kupitia benki ya crdb, kupiyia simu, nimesubiri masaa kadhaa, ikashindikana pesa yangu imerudi na muamala umebatilishwa, nikajaribu simu ya mtu mwingine benki ya NMB, hamna kitu napo. Sijajua mnaposema huduma ya simu kuanzia leo tarehe 2 ndio itakuwa na usumbufu wa dizaini hii au la. Umeme kupitia simu ktk benki ya crdb na nmb nilijaribu jana tarehe 1.
Kununua moja kwa moja ktk simu bila kupitia benki itaendelea maana kuna uzushi kuwa huduma ya simu itaendelea ila kupitia simbanking??
 
Kabla ya kuwazia gharama za kuwekewa LUKU yako mwenyewe angalia kwanza gharama za kuwa na mfumo wako wa wiring system! Inabidi ujitoe kwa hao unaochangia nao hyo LUKU na ubaki peke yako kwanza na uwe na miundombinu yako kama Main switch na circuit breaker na vinginevyo, pia gharama za TANESCO zinagemea mahali ulipo kama ni mijini basi ni 320k hapo bila gharama za Application form nk, kama ni kijijini basi kuna lile punguzo la REA. MUHIMU nenda ofisi za Tanesco zilizo karibu wewe
 
zitaendelea kuwepo ila faida kwa wauzaji imeshuka sana......


Ndugu mteja, kuanzia trh 02/04/2018 faida kwa mauzo ya LUKU itapungua kutoka 2.5% hadi 0.5% kutokana na punguzo la kamisheni na TANESCO. Asante
Kwanza ilikuwa 0.3% ikaja 2.5% now imekuwa 0.5% biashara ya kuuza umeme ishakuwa mbovu sana inamaana ukiuza umeme wa laki faida sh 500
 
Mtoni Kijichi Jirani Na sekondari ya Elasita ways zipo chini sana wakati wowote zitaleta madhara kwa wakati/wanafunzi
 
hii system yenu mpya mloanzisha ya kununulia umeme seems iko corrupt....nanunua umeme mpesa inanileta maneno sijawahi ht kuwaza ...hebu jipangeni upya.si mlisema tutanunua km kawaida ...sasa mbona imebuma....
vitu km hamna uwezo navyo msifanye....
utadhani tunapewa bure umeme bana
 
Pole sana sasa unaweza kununua umeme
 
Tu akuomba radhi sana nunua kwa njia nyingine mpendwa mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…