Hahahaha yani huku full kabsaaaaa ,mvua toka jana lakn umeme full tunaingiza pesaaaaa tu na viwanda vyetu bila hasara ya kutumia jenereta kutwa nzima..Leo pamoja na mvua kunyesha kutwa nzima, lakini tanesco hawajakata umeme
NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAMNaomba namba ya Emergency TANESCO Ilala, hii 0715768589 haipatikani. Nilipewa namba hii kutokea 0784768586 ambako niliuzia sababu ya kukatika kwa umeme nikaambiwa nipege kwenye hiyo namba ambayo haipatikani
Wenzako wanapambana na mafuriko,,Samahani, nimeuliza swali toka jana mbona sijibiwi?
Nimeshakupatia mkuu, bado sijapata msaadaNamba ya mita ni ngapi
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHuku TANGA luku mtazileta lini sasa inapita miezi miwili mita za luku hamna.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOKwenye hili jukwaa. Mbona mkiulizwa kuhusu nguzo na kucheleweshea wateja kuwaunganishia umeme ilhali walishalipa mnapata kigugumizi. Mlisema mtamuunganishia mtu aliyelipia baada ya siku 60. Mbona hamjiheshimu ?
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA......Magdalena Kaniki..........................
2.SIMU.......0755 759999........................
3.MKOA........Pwani.....................
4.WILAYA......Kibaha....................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.....Kongowe....
6.JINSI YA KUFIKA......Mashine ya maji barabara ya Soga........
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU........Mbuyuni mashine ya maji.....................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI.......Tulishalipia kuunganishiwa umeme lkn mwezi wa pili sasa hakuna kinachoendelea.............
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Tunaomba huduma ya kuunganishiwa umeme. Tumeshalipia huduma hii.MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
*Zingatia*
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA
MAISHA YAKO"
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mtejaJINA ...Magdalena Kaniki
SIMU....0755 759999
MKOA....Pwani
WILAYA..Kibaha
MTAA.... KONGOWE
JINSI YA KUFIKA..Mashine ya maji
ALAMA..Mbuyu
TUNACHOHITAJI......Kuunganishiwa umeme kwani tulishalipia na ni muda sasa.
Wako katika ujenzi wa taifa.